Msaada: Nimetengwa kijamii

Msaada: Nimetengwa kijamii

Habari za wasaa huu wandugu,

Nahisi siko vizuri kisaikolojia naombeni msaada nilitengwa kijamii.Sipati ushirikiano kutoka kwa ndugu, marafiki zangu na jamii yangu kwa ujumla.

Hali hii imenifanya niogope kujichanganya kwa kuhofia kukosa ushirikiano.
Hakuna mawasiliano kati yangu mimi na ndugu zangu nikipiga hawapokei wala hawajibu SMS.I am tortured i need help.

Nimeshindwa hata kusoma na kupata mafanikio sababu muda wote nipo mwenyewe tuu nyumbani. Nawaza hivi nikiumwa ghafla hapa nani atanisaidia?

Nilimgundua mbaya wangu alie block mawasiliano kati yangu mimi na ndugu zangu hawa nikaachana nae sina ubavu wa kumwadhibu.

Mimi kimsingi ni chadema na wengi walitamani niwe ccm ila sitaki hivyo basi sina mda na siasa za Tanzania ili kuepusha chuki na watu nitakapokua upande wangu. Kwa msimamo wangu huo mengi yametokea na moja wapo ni hili la kutengwa, habari zangu za siri kuwa public na kadhia nyingi sana.
Nadhani misimamo yangu hii ndio chanzo cha yote haya...

Note: Mimi sina baya lolote nililofanya so msinihisi vibaya bali ni hivo.

Naombeni ushauri wenu ili niweze kuepukana na hii hali.
Kawaida tu
 
Habari za wasaa huu wandugu,

Nahisi siko vizuri kisaikolojia naombeni msaada nilitengwa kijamii. Sipati ushirikiano kutoka kwa ndugu, marafiki zangu na jamii yangu kwa ujumla.

Hali hii imenifanya niogope kujichanganya kwa kuhofia kukosa ushirikiano.

Hakuna mawasiliano kati yangu mimi na ndugu zangu nikipiga hawapokei wala hawajibu SMS.I am tortured i need help.

Nimeshindwa hata kusoma na kupata mafanikio sababu muda wote nipo mwenyewe tuu nyumbani. Nawaza hivi nikiumwa ghafla hapa nani atanisaidia?

Nilimgundua mbaya wangu alie block mawasiliano kati yangu mimi na ndugu zangu hawa nikaachana nae sina ubavu wa kumwadhibu.

Mimi kimsingi ni chadema na wengi walitamani niwe CCM ila sitaki hivyo basi sina mda na siasa za Tanzania ili kuepusha chuki na watu nitakapokua upande wangu. Kwa msimamo wangu huo mengi yametokea na moja wapo ni hili la kutengwa, habari zangu za siri kuwa public na kadhia nyingi sana.

Jaribu kupunguza ulokole itakusaidia sana.
 
Kwani kule ulikohamia hakuna wanadamu

Huko uliko kwenye chama hicho tengeneza urafiki

Kingine muombe MUUMBA hakuna baya akupe heckima, akili na ujuzi

Ni pito tu lako utafika muda litapita
 
Habari za wasaa huu wandugu,

Nahisi siko vizuri kisaikolojia naombeni msaada nilitengwa kijamii. Sipati ushirikiano kutoka kwa ndugu, marafiki zangu na jamii yangu kwa ujumla.

Hali hii imenifanya niogope kujichanganya kwa kuhofia kukosa ushirikiano.

Hakuna mawasiliano kati yangu mimi na ndugu zangu nikipiga hawapokei wala hawajibu SMS.I am tortured i need help.

Nimeshindwa hata kusoma na kupata mafanikio sababu muda wote nipo mwenyewe tuu nyumbani. Nawaza hivi nikiumwa ghafla hapa nani atanisaidia?

Nilimgundua mbaya wangu alie block mawasiliano kati yangu mimi na ndugu zangu hawa nikaachana nae sina ubavu wa kumwadhibu.

Mimi kimsingi ni chadema na wengi walitamani niwe CCM ila sitaki hivyo basi sina mda na siasa za Tanzania ili kuepusha chuki na watu nitakapokua upande wangu. Kwa msimamo wangu huo mengi yametokea na moja wapo ni hili la kutengwa, habari zangu za siri kuwa public na kadhia nyingi sana.
Nadhani misimamo yangu hii ndio chanzo cha yote haya...

Note: Mimi sina baya lolote nililofanya so msinihisi vibaya bali ni hivo.

Naombeni ushauri wenu ili niweze kuepukana na hii hali.
Tatizo ni wewe.
Jitafute ujivumbue...

Siasa kama zinakutenga na jamii maana yake ulikuwa unafanya upuuzi na kusingizia siasa....

Simama jitambue.
 
inauma sana ktk jambo la kuambiwa tunafanyaje unapewa poleee wewe funguka kila kitu hili ni jukwaaa huru huru fungukaa tutakusaidia
 
Back
Top Bottom