- Thread starter
- #61
Sawa mkuu natakupa mlejeshoLutanaFreeware
Kuna mahali pa kusearch tafuta kupitia hiyo link.
Sawa mkuu natakupa mlejeshoLutanaFreeware
Kuna mahali pa kusearch tafuta kupitia hiyo link.
Kabla ya kufanya chochote zima simu kwanza
Inazmika ubinye power botton had izmike,au kama unashndwa ubije button ya power na v- had izime
Kama n simu ya button mbl inatakiwa ubinye volume up+power btn simulteneously mpaka itokee either gear au android logo au maandsh madogo ya rang ya blue,
then utumie v+ kuselect mpaka afke reset to factory settn, subr mpaka iandke complete,
then select tena clear cache halafu subr tena,then chagua rebøot, subr mpaka iwake na ufanye tena settn ya simu
Hiyo inaitaji mtu anayejua mzee sio kitu rahisi unavyodhani sizani kama ataweza kufanikisha hilo.LutanaFreeware
Kuna mahali pa kusearch tafuta kupitia hiyo link.
Atajitahidi tu. Maana kuna tutorial nyingi YouTube.Hiyo inaitaji mtu anayejua mzee sio kitu rahisi unavyodhani sizani kama ataweza kufanikisha hilo.
Dah... kabisa yaani unateleza tu... Nina ids 68 humu JF.... email account 289....simkad 150 za simu zote zina PIN na account fb... password na PIN huwa sirudii ..wala siandiki popote zaidi ya kula bamia mbichiNdo kusema kwamba inarejesha kumbukumbu kiongozi?
Dah... kabisa yaani unateleza tu... Nina ids 68 humu JF.... email account 289....simkad 150 za simu zote zina PIN na account fb... password na PIN huwa sirudii ..wala siandiki popote zaidi ya kula bamia mbichi
6 Astonishing Health Benefits Of Okra You Didn’t Know
Nimefanya hizi hatua lakini bado tatizo lipo palepale ndugu, cjui itakuwa na nini jamani?Kabla ya kufanya chochote zima simu kwanza. Inazimika ubinye power botton hadi izmike,au kama unashindwa ubinye button ya power na v- hadi izime. Kama ni simu ya button mbele inatakiwa ubinye volume up+ power button simulteneously mpaka itokee either gear au android logo au maandishi madogo ya rangi ya blue.
Then utumie v+ kuselect mpaka ufike reset to factory setting, subiri mpaka iandike complete, then select tena clear cache halafu subiri tena, then chagua reboot, subiri mpaka iwake na ufanye tena setting ya simu.
Anataka isifutike lazima aende kwa fundiLock ni software mkuu sio hardware na hata ukipeleka kwa fundi atakachofanya ni reset na pesa atakuwa amepigwa
Alishamalizaga kitambo tuAnataka isifutike lazima aende kwa fundi
Kuna step unakosea mm nmereset yangu janaNimefanya hizi hatua lakini bado tatizo lipo palepale ndugu, cjui itakuwa na nini jamani?
Nipe orodha ya hizo steps tuone nakosea wapi.Kuna step unakosea mm nmereset yangu jana