Duh! Unasahau hadi e-mail!?nimefanya factory resert now naangaika kwenye email maana nimesahau
mkuu email nimeikumbukaDuh! Unasahau hadi e-mail!?
Kwahyo ipo vizuriMk
mkuu email nimeikumbuka
Kwahyo ipo vizuri
[/QUOTEBado mkuu uyu sister kasahau password nimejaribu Ku recovery email namba ya cm nayo alishapoteza .kuna njia mbadala zaidi ya hapo mkuu
Na kuvirejesha tena si mpaka uvi-download au?? Ebu nifute ujinga boss.Kuokoa matatizo kama hayo penda kusave vitu vyako muhimu kupitia Google Drive ina GB 15 za free unaweka humo kuondokana na stress kama hizi
Frp haijawah kumuacha mtu salama
Una hard reset ukiamin unatoa lock,kumbe unajichimbia kabur la fpr
Polee mkuu...

Ndo kusema kwamba inarejesha kumbukumbu kiongozi?Dah....Kama utaweza jaribu uwe unakula angalau bamia 1 mbichi kwenye kila mlo wako...![]()
Umeikumbuka tena na ulisema simu ya dadaMk
mkuu email nimeikumbuka
Ndio mkuu ninayo.Luna watu wanasema cm. sio yangu nimeiba jibu ni hapana hiyo nilimpa dada yangu aitumie na aliset vitu vyote so juzi alibadili password ndio majanga haya yakajitokezaUna pc karibu? nikupe maelekezo na link ya kupakua program fulani!!..
Sorry nilimaanisha sister alinipa iyo emailUmeikumbuka tena na ulisema simu ya dada
Ndio mpaka udownload nasio vitu vyote unadownload kwa wakati mmoja mfano mm kuna ma doc nimeweka humo like mavyeti nakadhalika nikitaka kuvitumia nadownload kisha naenda print natumia vikiwa vinahitajika inakuwa ni store unaweka tu humo vitu ukihitaji unachukua tu unatumiaNa kuvirejesha tena si mpaka uvi-download au?? Ebu nifute ujinga boss.
Ndio mkuu ninayo.Luna watu wanasema cm. sio yangu nimeiba jibu ni hapana hiyo nilimpa dada yangu aitumie na aliset vitu vyote so juzi alibadili password ndio majanga haya yakajitokeza
Link siioni jaribu kutumaUtadownload app moja inaitwa miracle box kupitia link hii then install katika pc yak, ila kabla ya kuinstall hiyo program zima antvirus wote.
Kama hiyo program itakuwa ngumu kuitumia download hii hapa. Gsm aladinNdio mkuu ninayo.Luna watu wanasema cm. sio yangu nimeiba jibu ni hapana hiyo nilimpa dada yangu aitumie na aliset vitu vyote so juzi alibadili password ndio majanga haya yakajitokeza
Ndio mpaka udownload nasio vitu vyote unadownload kwa wakati mmoja mfano mm kuna ma doc nimeweka humo like mavyeti nakadhalika nikitaka kuvitumia nadownload kisha naenda print natumia vikiwa vinahitajika inakuwa ni store unaweka tu humo vitu ukihitaji unachukua tu unatumia

Mkuu nitumie link nidownloadLink siioni jaribu kutuma