Msaada: Nimesahau password ya simu yangu

wakuu,nategemea mu wazima wa afya na mnaendelea na majukumu kama kawaida.

Wakuu simu yangu nilibadili password kwa bahati mbaya nilisahau password mpya niliyoiweka. nimeshidwa kuifungua .naombeni msaada wa jinsi ya kuanlock simu hiyo. model ya simu in Wiko Lenny 4 plus.
Eti uweke password alafu usahai why?hiyo simu ni ya wizi Mkuu mrudishie mwenyewe
 
wakuu,nategemea mu wazima wa afya na mnaendelea na majukumu kama kawaida.

Wakuu simu yangu nilibadili password kwa bahati mbaya nilisahau password mpya niliyoiweka. nimeshidwa kuifungua .naombeni msaada wa jinsi ya kuanlock simu hiyo. model ya simu in Wiko Lenny 4 plus.
nimefanya factory resert now naangaika kwenye email maana nimesahau

Umesahau password ya simu na pia email yako umeisahau?
Mrudishie mwenye simu mkuu, acha janja janja.
Jumapili leo onyesha wema.
 
Umeandikaje hii mode sasa wakati simu imelock
wakuu,nategemea mu wazima wa afya na mnaendelea na majukumu kama kawaida.

Wakuu simu yangu nilibadili password kwa bahati mbaya nilisahau password mpya niliyoiweka. nimeshidwa kuifungua .naombeni msaada wa jinsi ya kuanlock simu hiyo. model ya simu in Wiko Lenny 4 plus.
 
Una pc karibu? nikupe maelekezo na link ya kupakua program fulani!!..
 
Back
Top Bottom