Msaada: Nimelala na wanawake wengi sana

Sasa hao ndio wengi?
 
Loh yuhu kijana kapoteza mda na akili zake wanawake 180 una miaka 33. Let say kila mwana mke ulilala nae ×3 tu 3×180=540 f**ks na kila unapo lala unachukua 45min. Manaake hapo 45min×540=24300minutes÷60=405hrs ÷24hrs, ulipoteza masaa 405, kwa jumla ya ngono bila hata kupata mtoto, ndo maana mnafanya sisi masikini kutukwana "pple are busy making money ur bzy on useless sex" loh.
 
Nenda hospital kapime magonjwa yote makubwa
 
Mtoto unapata kama kawaida ukitulia na ukaacha huo uharamia,tafuta mwanamke mmoja tuu japo sio rahisi
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we bure kabisa
 
Unahitaji msaada wa kiroho.

Nenda kanisani, mwombe MUNGU na uwe unasoma Biblia.

Lakini pia, hebu badili ID name yako.
Nambua Mungu na ipo siku nitakua huru.nilikua mraibu wa kamari now Mungu kanifungua.kilichobaki ni kuacha umalaya
 
Mimba ngapi ushaambiwa!? Tuanzie hapo.
Demu wangu mmoja alijifunguaga ila mtoto hakumaliza siku mbili kafa.kisa ni kutoka udenda.huyu demu nilienae sasa mimba mbili zimetoka.hizo zingine wanabeba wanawake ambao nimekula tunda kimasihara hivyo nakua sijawaelewa kiivo
 
Ushanunua Malaya 160 wa kuwatongoza wa mtani wanafika 20 pull umeanza kupiga toka 2010 ivi nitapata kweli mtoto
Kapime kwanza ukimwi afu ndio uje ulize mtoto
Sina ngoma labda niwe nimepata saivi maana nina miezi kama 4 sijapima
 
Duh mademu wote uliowala lkn ata mtoto wa kusingiziwa huna mbona kimbembe aisee
 
Mkuu kweli wewe ni true definition ya MASTER KEY
 
Kati ya vijana wanaolala pazuri na mimi nipo.sio sio mzembe kiasi hicho.ila kuna ukweli nimepoteza pesa ila cha msingi ni kuangalia mbele na kuacha upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…