Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shosti huo mpango wakutumia calendar mambo ya zamani sana,tumia dawa au weka kitanzi...
Kheir Inshallah..Wala sio kweli, Kalenda ndo njia nzuri ukielewa vizuri mwili wako, mnadanganyika na hizo njia nyingine ambazo sio safe kwa afya zenu.
sikiliza kipindi cha Prolife Radio Maria utapata elimu kubwa juu ya hilo.
salaamu wana jamvi,
mimi ni mama ninaishi na mme wangu lakini pia mimi ni mwanachuo wa chuo fulani,
sasa katika mahusiono yetu tumekuwa tukitumia kalender kuzuia mimba, sasa mwezi uliopita nilipata hedhi yangu
tar 14/5 na hii ni tarehe 16/6 si japata hedhi yangu, na kabla nilikuwa sifikii sk 32.
lakini sasa nikihesabu hapo nimefika sk 34, kumbuka ninahitaji namna ya kurudisha hedi yangu au vinginevyo.
Kutumia calendar si safe hata kidogo omba Mungu tu iwe imetokea safari hii umechelewa, lakini siku 34 Mhhhhh! kuchelewa kipindi kirefu hivi sidhani.
calendar!!!kwani condom hazipo huko hadi mtumi kalenda?
Shosti huo mpango wakutumia calendar mambo ya zamani sana,tumia dawa au weka kitanzi...
unamanisha hujui hata kipimo cha mimba?sasa ulijuaje utaratibu wote kuzuia mimba na hasa kwa tareheAsante kwa ushauri wako, ni vidonge hv?
Kuna shida gani? Nchi yetu watu wanazaana mno khaa! Kutoa zygote (km haikupangwa) sidhani km ni shida
Salaamu wana jamvi,
Mimi ni mama ninaishi na mme wangu lakini pia mimi ni mwanachuo wa chuo fulani, sasa katika mahusiono yetu tumekuwa tukitumia kalenda kuzuia mimba.
Sasa mwezi uliopita nilipata hedhi yangu tar 14/5 na hii ni tarehe 16/6 si japata hedhi yangu, na kabla nilikuwa sifikii siku 32. lakini sasa nikihesabu hapo nimefika sk 34, kumbuka ninahitaji namna ya kurudisha hedhi yangu au vinginevyo.
Kama wewe ni mwanamke kweli huwezi kuuliA ushauri wa kipuuzi namna hii. Kwani hujui kujipma kama una mimba ya wiki mbili au la?
Basi kama ww ndio kama wale wale wa kinyumbu nyumbu tena msomi wa kihivyo hivyo nakushauri uende maria stops.
Next time don't ask f. $$%% queations here. Tuna mambo ya msingi zaidi ya kukosa period zako.
sasa ndugu yangu nimezungukaje?, nimesema ninasoma na ninafamilia na hatuko tayari kuputa mtoto sasa, na hedhi ndiyo nimegoma................ni saaidie tafadhari.
Kuna shida gani? Nchi yetu watu wanazaana mno khaa! Kutoa zygote (km haikupangwa) sidhani km ni shida
Kuna shida gani? Nchi yetu watu wanazaana mno khaa! Kutoa zygote (km haikupangwa) sidhani km ni shida