Msaada: Nimekosa hedhi yangu

gashambala uwezo

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
485
0
Salaamu wana jamvi,

Mimi ni mama ninaishi na mme wangu lakini pia mimi ni mwanachuo wa chuo fulani, sasa katika mahusiono yetu tumekuwa tukitumia kalenda kuzuia mimba.

Sasa mwezi uliopita nilipata hedhi yangu tar 14/5 na hii ni tarehe 16/6 si japata hedhi yangu, na kabla nilikuwa sifikii siku 32. lakini sasa nikihesabu hapo nimefika sk 34, kumbuka ninahitaji namna ya kurudisha hedhi yangu au vinginevyo.
 
CHIEF MGALULA

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
936
500
Sometime kupitiliza kupo,hebu nenda duka la dawa lilo karibu nunua UPT ucheck then rudi hapa tuendelee na mada hii
 
wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,945
2,000
hahaaa kuchepuka madhara yake ni meengi.....
mm ungesema ukweli as long bado changa ndogo sana ningekupa simple soln, bt kwa vile unazunguka ukwel unazugs komaa nayo kinuke ndoani.
 
gashambala uwezo

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
485
0
hahaaa kuchepuka madhara yake ni meengi.....
mm ungesema ukweli as long bado changa ndogo sana ningekupa simple soln, bt kwa vile unazunguka ukwel unazugs komaa nayo kinuke ndoani.
sasa ndugu yangu nimezungukaje?, nimesema ninasoma na ninafamilia na hatuko tayari kuputa mtoto sasa, na hedhi ndiyo nimegoma................ni saaidie tafadhari.
 
Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,472
2,000
Usijaribu kutoa mimba nimekuonya.

Shughulikia matatizo mengine kama ni ya kiafya utibiwe. Lakini kama in ujauzito, leo mwanao utafurahi lakini ukidanganyika kutoa mimba,utanikumbuka siku zote za maisha yako!.
 
Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,951
2,000
Usijaribu kutoa mimba nimekuonya.

Shughulikia matatizo mengine kama ni ya kiafya utibiwe. Lakini kama in ujauzito, leo mwanao utafurahi lakini ukidanganyika kutoa mimba,utanikumbuka siku zote za maisha yako!.

Kuna shida gani? Nchi yetu watu wanazaana mno khaa! Kutoa zygote (km haikupangwa) sidhani km ni shida
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,705
2,000
Kutumia calendar si safe hata kidogo omba Mungu tu iwe imetokea safari hii umechelewa, lakini siku 34 Mhhhhh! kuchelewa kipindi kirefu hivi sidhani.

sasa ndugu yangu nimezungukaje?, nimesema ninasoma na ninafamilia na hatuko tayari kuputa mtoto sasa, na hedhi ndiyo nimegoma................ni saaidie tafadhari.
 
kichwa tulivu

Member
Apr 27, 2015
83
0
Dont worry c sta. wengine wanapitiliza mweziii kabisaa, ww cku nne tu hujiamini. cha kufanya kama bado una wasiwasi nenda pharmacy kanunue UPT ni buku tu. tafuta kachombo kojoa lakini mkojo wa asbh kabla hujala ndo mzurii xnaa.

open UPT yako igusishe kwenye mkojo mpaka ile sehemu inayokaribia na kasponge thn wait kuna red line itatokea kwa juu. kama itatokea mistari 2 tayari ww unakazygote waitng for delivery. na kama utatokea mstari 1 tht means you are safe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom