Msaada: Nimejifumanisha mwenyewe

Msaada: Nimejifumanisha mwenyewe

Umeondoka kwenye chumba chako hakuna mtu, kurudi unakuta mtu, kwa hiyo akili zilikujia ghafla sana kwamba umekosea vyumba ikabidi utoke nduki usije kuitiwa mwizi au unabaka. Inshort sema akili zilikujia hapo hapo baada ya kujua umekosea.

Huu msimamo ni lazima uanzie mwanzo mpaka mwisho.
Heshima yako kaka.....nimekukubali 100%
 
yule shangazi ananiuliza eti sina chochote cha kumuambia...!!!! nimemwambia sina.. sasa sijui ananitega au na yeye ana yake naona simsomi pia..!!!
Acha kumbembeleza na wewe utafikiri haujawahi kufanya kosa na ukajitetea na uongo ukakubalika yani hapo fata ushauri wa Don Clericuzio tena wakazie kabisa mwambie ndo hivo nilikuwa out of my mind hapo utakuwa umemalizana nae yani wewe ni mwanaume halafu unaogopa aiseeeee
 
Hapo hauna kisingizio kingine zaidi ya pombe, kuna mwenzako alitaka kubaka akakimbilia kwenye mahindi sema alikua pombe ni hatari.
Namkumbuka yure alisetiwa dem maharage ya mbeya akaingia kingi na kumi lake!!... dunia viroja aseh!..
Ila Don katoa ushauri fresh lewa siku hiyo, bora uonekane ulilewa
 
Isingizie pombe acha kujikanganya, sema siku hiyo friends zako walikulubuni ugonge mvinyo
 
Namkumbuka yure alisetiwa dem maharage ya mbeya akaingia kingi na kumi lake!!... dunia viroja aseh!..
Ila Don katoa ushauri fresh lewa siku hiyo, bora uonekane ulilewa
Ile nyuzi ilinitoa stress zote za mwaka mpya. 😀😀😀
 
kwani kuna ushahidi kuwa alikuona ndani, ushauri wangu kwenye kikao usiende wakikuuliza waambie upo busy na mambo ya maendeleo majirani wakikuuliza waambie sio mimi, kama kungekuwa na ushahidi hapo sawa lakini mlikuwa wawili bro kataa
 
mkuu acha nimejaribu kumwomba tuongee faragha amekataa katakata na anasema hana muda wa kuongea na mimi...!!!
mkuu ushaaribu tayari wee chakufanya komaa na uwo msemo kuwa ulikuwa umelewa na ukasahau vyumba icho tu

usibadili maneno wala kuyumba kama wanajua kuwa utumi pombe wambie ndo mara yako ya kwanza iyo jana full stop
 
Sasa mkuu inakuaje kutoweka jinsia yako kama ni KE au ME au ndio unamuiga sexless!..

Mkuu ile comment nilimaanisha asiniite kaka kuna vitu ataninyima kwa kuniita hivyo.

Sasa wewe ulivyotamka vile ikabidi nikujibu tu kirahisi.
 
Back
Top Bottom