Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Yes,as your sister from another mother
Let's call it that way for now, until we decide it otherwise.
Yes,as your sister from another mother
nipo zangu gheto hapa... wakati narudi nimemsikia shangazi na binti yake wanaongea kawaida tu ndani mi nimepita zangu nimeingia gheto nimefunga mlango.... kwa haraka naona kesi imeisha hapa haina nguvu tena..!!!Sawa endelea tena
No commentLet's call it that way for now, until we decide it otherwise.
mkuu kilichotokea ni kwamba jana niliamua kuchelewa kurudi gheto walinisubiri kwenye kikao mwisho wakaamua wakalale zao ila yule shangazi alinisubiri mpaka nimerudi... nilivyofika akaniuliza asubuhi ulitaka kuniambia nini nikamwambia nilikuwa na shida ya pasi ila kwakuwa ulikuwa haupo ok nikaona basi... akasema huna kingine nikamwambia sina... akajibu kama huna kingine sawa. leo nimerudi nimekuta fresh kiaina wapo zao ndani wanapiga story nilichofanya ni kupita zangu gheto nimefunga mlango nimejikausha tu.... kwa kiasi fulani naona kesi imepungua makali tofauti na jana... japo yule shangazi najua bado ana kinyongo...!!!Mkuu! Pombe ndio itakayokutoa ! Sema ulikua pombe sana ukachanganya vyumba! !
Kesi itakua ngumu kama hutumii hiyo pombe yenyewe!!
[HASHTAG]#Usisahau[/HASHTAG] kutuletea mrejesho! Na useme ni ushauri wa nani uliokufaa!
No comment
I think even that comment is enough too😛Already made one.
I think even that comment is enough too😛
Njia zote zimefungwa na mwenyewe so hakuna njia tenaNgoja siku nikosee nije kwako, mi sikimbii ujue.
Njia zote zimefungwa na mwenyewe so hakuna njia tena
Same hereHaya, hope all is well.
Mimi niko powa.
Am speechlessYou will see me a lot today...
Stay put.
All love.
You're wrong😀It's my hope that you meant exactly what I'm thinking.
You're wrong😀