The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
- Thread starter
- #181
na hilo ndo lililokuwa akilini niseme nilikuwa usingizini ila had sasa nimekimbia kikao.. kumbe naweza nikaharibu zaidi eeeh..!!!!Kesi kwani huyo msichana ni under 18?? Hata hivo unatakiwa kusema hivo na hamna kingine cha kujitetea labda useme ulikuwa unaota kitu ambacho hakiwezekani