Don ulishawahi kukosea chumba eeehAkili za kuambiwa changanya na zako mkuu.
Tatizo la kumruka wakati yeye amekuona mtaendelea kuwa tofauti kubwa kati yenu na yeye atakasirika sana kwa wewe kumdhalilisha kwamba anauambia uma uongo.
Ila ukikubali na kukiri kosa wewe na yeye hamtakuwa na tofauti kivile.
Kama nilivyokwambia: Akili za kuambiwa changanya na zako.
Don ulishawahi kukosea chumba eeeh
Hahaha huyo huyo jamaa ni kiazi sijawahi kuona yani. Hakufikiri hata kama dem ni cheap kiasi gani huwezi kumpata kindezi ndezi hivyo.Yule ndezi aliyepenyeza buku ten kwenye gunia
Sasa si unasema tu kwani watakupima mkojotatizo nyumba nzima wanafahamu mimi sio mtumiaji wa pombe mkuu.
****.makeMkuu nakushauri ongea na mwenye nyumba aweke milango haiwezekan mkaish watu wengi af kuna mapazia tu mtu unaweza tu kuingia bila kupiga hodi, shangaz pia mwambie awe analala uchi ili siku ukikosea pena ukiingia tu unaona papa lake
Huyu Bana hataki kushauriwaUmeondoka kwenye chumba chako hakuna mtu, kurudi unakuta mtu, kwa hiyo akili zilikujia ghafla sana kwamba umekosea vyumba ikabidi utoke nduki usije kuitiwa mwizi au unabaka. Inshort sema akili zilikujia hapo hapo baada ya kujua umekosea.
Huu msimamo ni lazima uanzie mwanzo mpaka mwisho.
Huyu Bana hataki kushauriwa
tatizo nyumba nzima wanafahamu mimi sio mtumiaji wa pombe mkuu.
Sema ulikuwa umelewa, ukakosea vyumba.
Na usibadili msimamo.
shenzi type, ndio ukome.😀😀😀😀Habari zenu wakuu mwenzenu leo yamenikuta mimi na mpenzi wangu tunaishi nyumba moja ila vyumba tofauti mimi naishi mwenyewe ila yeye anaishi na shangazi yake imekuwa kawaida shangazi yake.
Sasa usiku wa jana shangazi yake alitoka kwenye mida ya saa mbili hivi na muda huo mpenzi wangu aliniita kuwa shangazi hayupo na atarudi kesho asubuhi hivyo mimi niende kwake na kama ujuavyo mapenzi nikasema sawa.
Tumegegedana kwa raha vizuri na kwenye saa nane hivi nikamwambia acha mimi nikajipumzishe kwangu wakati natoka nilimwacha ametoka kitandani amelala kwenye kochi nikamwambia usilale hapo hadi asubuhi baada ya nusu saa amka ujilaze kitandani.
Basi nimerudi zangu kulala ila ilipofika saa 11 nikashtuka na nikakumbuka yule mwanamke inawezekana amepitiwa pale usingizi anaweza akaliwa sana na mbu pia kuna kuumiza shingo acha nikamwangalie kama amerudi kitandani hapo sasa sina hili wala lile kumbe shangazi alikuwa karudi saa tisa na mimi mzee mzima kwa kujiamini niliingia tu chumbani kwake nikiamini yupo binti tu.
Yule shangazi alishtuka kuniona na nilipomuona nilikimbia fasta kurudi kwangu sasa leo anaitisha kikao nyumba nzima kuhusiana na tukio hili naomba mnipe mawazo naikwepa vipi hii kesi maana naona sijielewi kabisa.
😀😀😀Ukiwa mlevi hii kesi ndogo ka punje ya Mchele kwanza ingeisha usiku ule ule ulipokutana na shangazi yake