Msaada: Nimejifumanisha mwenyewe

Msaada: Nimejifumanisha mwenyewe

Habari zenu wakuu mwenzenu leo yamenikuta mimi na mpenzi wangu tunaishi nyumba moja ila vyumba tofauti mimi naishi mwenyewe ila yeye anaishi na shangazi yake imekuwa kawaida shangazi yake.

Sasa usiku wa jana shangazi yake alitoka kwenye mida ya saa mbili hivi na muda huo mpenzi wangu aliniita kuwa shangazi hayupo na atarudi kesho asubuhi hivyo mimi niende kwake na kama ujuavyo mapenzi nikasema sawa.

Tumegegedana kwa raha vizuri na kwenye saa nane hivi nikamwambia acha mimi nikajipumzishe kwangu wakati natoka nilimwacha ametoka kitandani amelala kwenye kochi nikamwambia usilale hapo hadi asubuhi baada ya nusu saa amka ujilaze kitandani.

Basi nimerudi zangu kulala ila ilipofika saa 11 nikashtuka na nikakumbuka yule mwanamke inawezekana amepitiwa pale usingizi anaweza akaliwa sana na mbu pia kuna kuumiza shingo acha nikamwangalie kama amerudi kitandani hapo sasa sina hili wala lile kumbe shangazi alikuwa karudi saa tisa na mimi mzee mzima kwa kujiamini niliingia tu chumbani kwake nikiamini yupo binti tu.

Yule shangazi alishtuka kuniona na nilipomuona nilikimbia fasta kurudi kwangu sasa leo anaitisha kikao nyumba nzima kuhusiana na tukio hili naomba mnipe mawazo naikwepa vipi hii kesi maana naona sijielewi kabisa.
Hapo shangazi mwambie kuwa unajua shangaz mm huwa nnaota huku natembea kwahyo nlkuw npo out of my mind.
 
na hilo ndo lililokuwa akilini niseme nilikuwa usingizini ila had sasa nimekimbia kikao.. kumbe naweza nikaharibu zaidi eeeh..!!!!
Kesi ikiwa ngum zaid ni kwenda kwa nabii Tito tu hamna namna aisee.
 
Shangazi hakufahamu kwani?
Mkuu ledada Huyu inaelekea ni mwanafunzi katutungia i mean ni hawa wa kundi linaitwa wanafanya Mtindo mbaya.Mkubwa anafanya mapenzi ila wanafunzi wanafanya mtindo mbaya japokuwa tendo ni moja.
 
wacha upuuzi..... kwani alikukamata,,, au kuna alama umeacha......komaaa sio wewe......kesi ndogo sana hii...kwani umeiba??komaaa,,,, halafu wacha uasherati ....oa kama unataka mbunye binafsi.......
Mkuu kwani hujui kuna mbunye za umma!?
 
Mkuu ledada Huyu inaelekea ni mwanafunzi katutungia i mean ni hawa wa kundi linaitwa wanafanya Mtindo mbaya.Mkubwa anafanya mapenzi ila wanafunzi wanafanya mtindo mbaya japokuwa tendo ni moja.
kesi nishaimaliza mkuu ahsanteni kwa mliyoona nimetunga ila omba yasikukute...
 
Hapo hauna kisingizio kingine zaidi ya pombe, kuna mwenzako alitaka kubaka akakimbilia kwenye mahindi sema alikua pombe ni hatari.
Mkuu umenikumbusha huyo jamaa aliyeemfuata binamu yake bafuni kipindi ameenda kijijini kusalimia.....
 
Umeondoka kwenye chumba chako hakuna mtu, kurudi unakuta mtu, kwa hiyo akili zilikujia ghafla sana kwamba umekosea vyumba ikabidi utoke nduki usije kuitiwa mwizi au unabaka. Inshort sema akili zilikujia hapo hapo baada ya kujua umekosea.

Huu msimamo ni lazima uanzie mwanzo mpaka mwisho.
We jamaa mjanja sana!
 
Back
Top Bottom