Msaada: Nime 'fall in love' na shemeji, dada wa mke wangu

Msaada: Nime 'fall in love' na shemeji, dada wa mke wangu

Alafu hii yakupeleka mke akajifungue sijui kwao au kwenu nimetoka wapi! Mimba uweke wewe alafu mke akikaribia kujifungua una mexport! kwanini usianze kumlea mwanao wewe na mkeo toka siku yakwanza anajifungua
 
Kilichonisikitisha ni kwamba umekuwa wazi sana kiasi kwamba hata mkeo akisoma na kuconnect dots, anaelewa kila kitu.
Wife au hata akiwa ndugu wa karibu anyejua ujauzito wa mkeo, kwenda kwake home kujifungua, ujio wa mdogo wake kwako, kuachwa nyumbani wkt wife kaenda kujifungua, kufuatilia kwake ajira halmashauri, kuja mara kwa mara kila wiki, etc.

Ila amini kwmb ishu lazima ije kujulikana, na utafanya wao wagombane na undugu wao utakufa. Na mbaya zaidi huyo ni mkeo, so huwezi kusema hutajali. Ungegusa mara moja (under the influence of alcohol) then ukatembea.
Ndicho anachokitafuta unamtamani vipi ndugu wa damu na mkeo kama si upuuzi na ikijulikana ugomvi mpaka kwa wazazi hata huyo shemeji yake anaweza mfanyia kitu kibaya ndugu yake yy anazani ni poa tu
 
Jitahidi mapenzi unayo mpenda uyo shemeji yako yaamishie kwa mke wako. Kumbuka mlipo toka wewe Na mke wako, kumbuka wema wa mke wako, kisha Fanya maamuzi.
Muache siku yupo na mkewe amtaje huyo shemeji yake ndiyo akili itamsogea
 
Mwanaume usipokua siriazi hakika utajikuta unaharibikiwa kwa tamaa ya kimwil,hebu nikuulze tangu uanze kungonoka na shemeji yako umepata faida gani?baada ya hapo fikiria aibu ambayo itakuja ikupate baada ya mke wako kujua na ndugu zako huo uso wako utauficha wapi?
Uso wake atauficha kwenye kichwa cha chini
 
Nakushauri endelelea kula, ukimaliza kula tena baadae kula tena halafu kula tuu na Baadae kula tuu. usimtendee roho mbaya. Mpe haki yake.
 
Diva kaiiba hii story naona anaituma kwenye Ala za roho
 
Fanya hivi mkeo akiwa usingizi wewe amka piga magoti kando ya kitanda kisha mshike miguu huku ukiwa unasali kisha unafanya ungamo la uchafu wako baada ya hapo muombee akutunzie heshima yako

NB DHAMBI YA USALITI IKILIPIZWA NI HATARI ZAIDI YA KIFO
 
omba MUNGU sana utoke kwenye hilo giza la uovu maana hakuna njia tofauti na hiyo yaani maombi;
 
Hivi haya mnayosimuliaga humu huwa ni ya kweli? Mnafahamu karibu watanzania wote wenye access na internet wanaingia JF? Leo hii nilishangaa hata nisiyemdhania yupo JF. Sasa nyie mnakuja humu mnamwaga nchele wote hapa. Shauri zanguuuu
 
IMG-20171212-WA0032.jpeg
Mkuu huyu ndo shemeji yako??
 
ngoja mkeo ajue aafu huo usingizi utaamka mkuu...enjox while u can bt keep ua brain wt u
 
Back
Top Bottom