Msaada: Nime 'fall in love' na shemeji, dada wa mke wangu

Msaada: Nime 'fall in love' na shemeji, dada wa mke wangu

Whats goes around...comes around ..jiandae mkeo kuliwa pia
 
Shemeji we shemeji,
Unanitesa kishenzi,
Unanitesa kishenzi,
Unanitesa kishenzi,
Unanitesa kishenzi,
Shemeji kwichikwichi,
Shemeji haliombeki,
********************

Wanawake huwa siwaelewi hata kidogo,cuz Huyo shemejiyo anajua kuwa unamuingizia dyudyu Dada yake bado na yeye tena anakubali kuingiziwa dyudyu na ww...,huo ni uchafu uliopitiliza,na ikitokea ww umeathirika lazma wote wawili watawaka
Tupunguze ushetani!
 
Hiyo hadithi umetunga hapo mwishoni umevuruga Katika kumsingizia mtoto akizaa.
 
Mmepeana sasa chunga mimba msipeane na wife asijue. Akijua tu anaweza kukuachia shemeji aendeleze ndoa
 
Mkuu ungekua mgwana kama ungetuomba ushauri kabla ya kumgegeda. Sasa umemaliza show ndo unajilizaliza upewe ushauri!!! Pepo la ngono halijakuacha salama. Pambana na hari yako.
 
Kilichonisikitisha ni kwamba umekuwa wazi sana kiasi kwamba hata mkeo akisoma na kuconnect dots, anaelewa kila kitu.
Wife au hata akiwa ndugu wa karibu anyejua ujauzito wa mkeo, kwenda kwake home kujifungua, ujio wa mdogo wake kwako, kuachwa nyumbani wkt wife kaenda kujifungua, kufuatilia kwake ajira halmashauri, kuja mara kwa mara kila wiki, etc.

Ila amini kwmb ishu lazima ije kujulikana, na utafanya wao wagombane na undugu wao utakufa. Na mbaya zaidi huyo ni mkeo, so huwezi kusema hutajali. Ungegusa mara moja (under the influence of alcohol) then ukatembea.
We ndugu inaonyesha ni mzoefu wa hutu tujambo "under the influence of alcohol" so baada ya hapo hyo ni defence mechanism siyo!? [emoji23][emoji23]
 
Mkuu nadhani unatuonea sana, hukuja kutuuliza wakati mnaaza.
Pia kwa mwanaume kushindwa kutatua matatizo kama haya ni uzembe
 
We ndugu inaonyesha ni mzoefu wa hutu tujambo "under the influence of alcohol" so baada ya hapo hyo ni defence mechanism siyo!? [emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] . Sio hvyo. Ukisoma maelezo yake, ile wine ndo ilimpa courage ya yeye kufanya alichofanya, japo nia na madhumuni ya kuleta wine nyumbani ilikuw ni hyo hyo. If it wasn't, labda asingefanya chochote angeishia kumtamani tu.

Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app
 
Yani hapa Duniani hakuna watu rahisi na wanaoona ni halali kuliwa kama wadogo wa wake.
Sijui nitakwepa vip hili jambo.


Haya endeleeni kulana,ila chunga mimba
Kweli kabisa mkuu nina ushahidi kamili
 
Shemeji yako kabisaa??? Hicho mlichokifanya ni aibu na fedheha kwa mkeo. Hivi kweli umlale Shemeji yako???
 
Habari zenu wote.

Tangu miaka kama minne iliyopita nilikuwa namtamani sana shemeji yangu, lakini kutokana na ushemeji sikuweza kumwambia chochote. Nilikuwa nawaza namna gani siku moja nijaribu kuweka mazingira ya mapenzi ili yakikubali napiga mashine, yakishindikana nayeyusha kama sioni. Shemeji yangu ni mzuri sana lakini mwanzoni nilimuona kama ana mashauzi kupitiliza.

Miezi miwili ilopita mke wangu alisafiri kwenda kujifungua kwao akamwacha shemeji alikuwa amekuja kufuatilia mambo ya ajira za halmashauri. Akawa busy kidogo na mambo ya interview ila kila akitoka anakuja kulala kwangu. Mara nyingi huwa nachelewa kurudi kwa sababu nafanya kazi mbali kidogo, so mambo ya usafiri n.k.


Nilianza kuonesha mazoea, kwa kipindi hiki. Nikawa namwachia hela za matumizi, ili akimaliza mishe zake mapema afanye maandalizi ya dinner. Tulianza kama utani, mara akawa ananiuliza "nikuandalie nini leo shem?" namjibu chochote utakachopenda. Na mimi nikawa namuuliza nikuletee zawadi gani shem? Na yeye ananijibu yeyote utakayopenda shem.


kuna siku nikaleta zawadi ya ALTER WINE, nikamwambia leo tunakunywa wote hii shem. Aliuliza haileweshi? Nikamwambia ni divai, haina kilevi.... akanijibu sawa shem, bahati nzuri haijaandikwa kiwango cha alcohol iliyopo. Baada ya kila kitu, tulianza kunywa, kwa kweli ni tamu ile wine, baada ya hapo aibu ilianza kuisha kupita kawaida. Shortly, nilijikuta nimeeleza hisia zangu kwake.... yeye pia kumbe alinipenda ila hakuweza kusema kwa sababu ya huu ushemeji. After that..... we did what we did. Kesho yake tuliamka kila mtu akasambaa kwenye mishe zake. Kabla ya kurudi Nilimuuliza tena, baby nikuletee zawadi gani? Alinijibu yeyote mme, ila isiwe kama ya jana. Baada ya hapo jioni kama kawa tulilala wote, and we did the same.

Now shemeji ameshakuwa kama mke, maana kila akienda kwenye mishe zake nje ya mkoa au hata akienda kwao hawezi kuzidi wiki anakuja. Na mawasiliano yamekuwa juu kuliko ilivyokuwa mwanzo, kila baada ya masaa mawili, txt au calling. Mke wangu anakuja wiki ijayo, na shemeji is deadly fallen in love. Nimemuuliza tutafanyaje dada yake akija? Amesema akiwa na hamu tutakuwa tunakutana mahali pasipojulikana, na hata akiolewa tutazaa nae lakini atamsingizia mume wake.

Nifanyeje niondoe hili janga? Wote kweli tumependana..... aliondoka wiki ilopita anakuja leo for sex. Anadai amenikumbuka sana. Naombeni msitukane, maana hata mimi sijielewi kwa mapenzi ya shemeji.
Umejitukana mwenyewe
 
mkuu ndoa yako inadondoka hiyo usiachie mbachao kwa msala upitao bora utie nje kuliko shem wako huo ni uzwazwa
Sio inadondoka, kama ni mkristo ndio ishakufa hivyo ila imebakia ndoa jina.
 
Back
Top Bottom