Msaada: Nime 'fall in love' na shemeji, dada wa mke wangu

Msaada: Nime 'fall in love' na shemeji, dada wa mke wangu

Same scenario ingemtokea Mwanamke/Mke alafu akaileta Hapa jukwaani Kama alivyoileta huyu ndugu.

Basi tungemshambulia Sana kwa maneno kibao ya "kejeli" na dharau.
 
wazee wa mikasa mala nimegongwa na gari, leo umezini na shem.
 
Huyo shem wako hana mtu wa kumkaza..mkabidhi namba njemba moja hapa JF limuweke busy..utasahau usumbufu.
 
Back
Top Bottom