Msaada: Nime 'fall in love' na shemeji, dada wa mke wangu

Msaada: Nime 'fall in love' na shemeji, dada wa mke wangu

Acha zinaa rudisha hisia za upendo kwa mke wako kata mawasiliano na huyo mwizi wa Mme wa mtu
Mke nampenda sana may be nimpotezee taratibu shemeji yangu. Maana kaniambia nikimpotezea anasema nilimbaka
 
Hawa watu vishawishi sana .mm nimewai kuwakosa wote baada yamwizi kutaka amiliki yeye nakumwambia ukweli mdogowake ili mdogowake asuse yeye aendelee kuliwa .sema mamayao aliingilia kati mpaka Leo mamayao hataki hata kuniona .
 
Habari zenu wote.

Tangu miaka kama minne iliyopita nilikuwa namtamani sana shemeji yangu, lakini kutokana na ushemeji sikuweza kumwambia chochote. Nilikuwa nawaza namna gani siku moja nijaribu kuweka mazingira ya mapenzi ili yakikubali napiga mashine, yakishindikana nayeyusha kama sioni. Shemeji yangu ni mzuri sana lakini mwanzoni nilimuona kama ana mashauzi kupitiliza.

Miezi miwili ilopita mke wangu alisafiri kwenda kujifungua kwao akamwacha shemeji alikuwa amekuja kufuatilia mambo ya ajira za halmashauri. Akawa busy kidogo na mambo ya interview ila kila akitoka anakuja kulala kwangu. Mara nyingi huwa nachelewa kurudi kwa sababu nafanya kazi mbali kidogo, so mambo ya usafiri n.k.


Nilianza kuonesha mazoea, kwa kipindi hiki. Nikawa namwachia hela za matumizi, ili akimaliza mishe zake mapema afanye maandalizi ya dinner. Tulianza kama utani, mara akawa ananiuliza "nikuandalie nini leo shem?" namjibu chochote utakachopenda. Na mimi nikawa namuuliza nikuletee zawadi gani shem? Na yeye ananijibu yeyote utakayopenda shem.


kuna siku nikaleta zawadi ya ALTER WINE, nikamwambia leo tunakunywa wote hii shem. Aliuliza haileweshi? Nikamwambia ni divai, haina kilevi.... akanijibu sawa shem, bahati nzuri haijaandikwa kiwango cha alcohol iliyopo. Baada ya kila kitu, tulianza kunywa, kwa kweli ni tamu ile wine, baada ya hapo aibu ilianza kuisha kupita kawaida. Shortly, nilijikuta nimeeleza hisia zangu kwake.... yeye pia kumbe alinipenda ila hakuweza kusema kwa sababu ya huu ushemeji. After that..... we did what we did. Kesho yake tuliamka kila mtu akasambaa kwenye mishe zake. Kabla ya kurudi Nilimuuliza tena, baby nikuletee zawadi gani? Alinijibu yeyote mme, ila isiwe kama ya jana. Baada ya hapo jioni kama kawa tulilala wote, and we did the same.

Now shemeji ameshakuwa kama mke, maana kila akienda kwenye mishe zake nje ya mkoa au hata akienda kwao hawezi kuzidi wiki anakuja. Na mawasiliano yamekuwa juu kuliko ilivyokuwa mwanzo, kila baada ya masaa mawili, txt au calling. Mke wangu anakuja wiki ijayo, na shemeji is deadly fallen in love. Nimemuuliza tutafanyaje dada yake akija? Amesema akiwa na hamu tutakuwa tunakutana mahali pasipojulikana, na hata akiolewa tutazaa nae lakini atamsingizia mume wake.

Nifanyeje niondoe hili janga? Wote kweli tumependana..... aliondoka wiki ilopita anakuja leo for sex. Anadai amenikumbuka sana. Naombeni msitukane, maana hata mimi sijielewi kwa mapenzi ya shemeji.
We si kijogoo endelea tu
 
Yani hapo wala hakuna ushauri zaidi ya kukuambia ongeza chumvi na pilipili kwa mbaliiii
 
Kuna siku utakapo mnunulia Dada yako wine Ndipo utakapojua kuwa huna maana ya kuishi dunia hii. Namaanisha lazima utajidedisha.
 
Fanya hivi mkeo akiwa usingizi wewe amka piga magoti kando ya kitanda kisha mshike miguu huku ukiwa unasali kisha unafanya ungamo la uchafu wako baada ya hapo muombee akutunzie heshima yako

NB DHAMBI YA USALITI IKILIPIZWA NI HATARI ZAIDI YA KIFO
yaaani akifnya hivyo tu...mkewe nae lazima atatafuta MTU wakumlipizia nahuwenda akaamua kumpa papuchi baba yake mkwe....
baba wa mumewe
 
Kulaneni tu, ukiset mazingira ya threesome itapendeza zaidi kwasababu inanoga sana na ni tamu balaa
 
Nimejaribu kufanyia kazi ushauri wenu. Jana sikulala home ili nipunguze mazoea. Lakini leo amenuna anadai nikimkataa atasema kwa mke wangu kuwa nilimbaka. Nimeanza kuona utumwa hapa... usiombe janga kama hili likutokee. Natamani nikimbie lakini sijui cha kufanya. Manfongo *****, umenipeleka kubaya huku
haaaaa ..hiyo situation mbaya mnooo
ila nibasi tu..mimi yameshawahi nikuta hayo ..ila sio kwandugu wamke wangu...daaahhh sometymz huwa natembea huku najiona Niko naked yaani...cuz mchezo ulikuja kufahamika na baadhi ya ndugu......daaahhh ngoja nisiseme sana...
ila nataka nikwambie jmbo ..lazima mtakuja kushtukiwa tu..wanawake niwepesi mnoo kujisahau when wanapo fall in lv...so jiandae kuipokea aibu hiyo..nakama mkichwa chako nipanzi...bhasi nakuwish mapema R.I.P
 
Dah ....hiyo wine itakuwa feki....mivinyo yote inaandikwa kiasi cha pombe...nakushauri uwe makini unaponunua vitu[emoji87] [emoji13] [emoji41]
 
jamaa kafanya kosa la kipumbavu sana hapa njini madem kibao paka Kwa shem wako.ni na kaa nao wawili watoto tako laini kama la bella bells lakini sijawahi hata kuwaza
haaahaa mkuu mimi ugonjwa wangu nitako tu...yaani likiwa msambwa yereeee tu ..akili yote inahamia Dodoma kama serikali ya sizonje """"
ila hata wewe mwenyew wanakutoa udenda hao..mpka umekili kuwa tako laini ..daaahhh..dunia inalaaana hii
 
Back
Top Bottom