Msaada: Nime 'fall in love' na shemeji, dada wa mke wangu

Msaada: Nime 'fall in love' na shemeji, dada wa mke wangu

Sorry mkuu kwa kureply kwako hii quote maana nimejikuta nishaquote, inamuhusu mtoa uzi
Zinaa haikemewi bali hukimbiwa. Ikimbie zina kabla haijaleta mauti ndani mwako
Mkuu, ungethubutu kutongoza hyo shem yako... Mara i miss you shem.. Mara i love you shem.. Usingeiona papuchi ng'oo.. Maana me najua hawa mademu wa siku hz.. Unaweza kutokea kumpenda bahati mzur naye anahisia na ww/anakupenda japo haongei ila akiona tu umeanza tongozo basi atakuzungusha hapo, maringo kibao hadi ujute...
So hiyo njia ulotumia naikubal sana aiseeH.. Nikujua tu demu kafall love for me japo haongei.. Me naweka ukaribu nae zaidi.. Mwsho wa siku nakula tu mzigo kiulain na Mapenz ndo yanaanzia hapo.. Maana hawa wadada wanazngua sana ukiwatamkia bayana..
 
Yule jamaa aliyeimba hainaga ushemeji aliimba mambo ambayo yapokatika jamii.
 
199826.jpg

Kweli hata huyo mkeo aliyekuachia upupu huu nyumbani ati akenda kujifungua nadhani yeye ndo wa kulaumiwa. Endelea tu huku tunaita ni mafiga kusaidiana.
 
Jitahidi mapenzi unayo mpenda uyo shemeji yako yaamishie kwa mke wako. Kumbuka mlipo toka wewe Na mke wako, kumbuka wema wa mke wako, kisha Fanya maamuzi.
 
Mwanaume usipokua siriazi hakika utajikuta unaharibikiwa kwa tamaa ya kimwil,hebu nikuulze tangu uanze kungonoka na shemeji yako umepata faida gani?baada ya hapo fikiria aibu ambayo itakuja ikupate baada ya mke wako kujua na ndugu zako huo uso wako utauficha wapi?
 
Keep on falling, and let us know when you hit the rock bottom!
 
Ni muumba tu anejua ktk akili ya mwanamke kaweka nini, wee endelea kudhani kuwa "she's deadly fallen in love" huku akijua wee ni shemeji yake!!!,
Sasa, subiri siku akwambie nmepitiliza siku na hajaolewa bado, au watofautiane kidogo na dada yake (which is very likely right now, since she knows what her Sr has been gettin)
Hapo ndo urudi kutuambia hizo "deadly fallen in love" zako
 
Back
Top Bottom