Kwa sasa hawezi kuwa huku kwa ubize alionao.Mkeo yumo humu JF, na ameshajua ufuska wako......
Alter wine hawajaandika. Na ipo kiwango kizuri tuHapo kwenye wine ambayo haina kiwango cha kilevi ndio umetushtua kwamba hii ni chai...
Standards ni lazima kuonyesha ABV kwenye lebel ya kila pombe
Hapa msaada unahitajika. We are all blind, nashindwa ntaanzia wapi kumwachaKilichonisikitisha ni kwamba umekuwa wazi sana kiasi kwamba hata mkeo akisoma na kuconnect dots, anaelewa kila kitu.
Wife au hata akiwa ndugu wa karibu anyejua ujauzito wa mkeo, kwenda kwake home kujifungua, ujio wa mdogo wake kwako, kuachwa nyumbani wkt wife kaenda kujifungua, kufuatilia kwake ajira halmashauri, kuja mara kwa mara kila wiki, etc.
Ila amini kwmb ishu lazima ije kujulikana, na utafanya wao wagombane na undugu wao utakufa. Na mbaya zaidi huyo ni mkeo, so huwezi kusema hutajali. Ungegusa mara moja (under the influence of alcohol) then ukatembea.
Yaaaaaan kwa jinSi maelezo yako yalivyo straight na wazi......... Hiyo ID haitakusidia kabisA, atajua mara moja baada ya kupitia izi huu...Kwa sasa hawezi kuwa huku kwa ubize alionao.
Zinaa haikemewi bali hukimbiwa. Ikimbie zina kabla haijaleta mauti ndani mwako
thanks for good ideas frndUshauri wangu,
Endelea kumla shemeji yako na mkeo hakuna madhara kikubwa ni kuwa mwangalifu na msiri sana wa hali ya juu kama masharti ya chama cha Freemason, kila kitu kinawezekana endapo wewe mwenyewe utakuwa
" under control "
Be careful man and keep go ahead.
Nakushauri kitu kimoja. Mama yao pia si mzuri au? Mvizie nae akija mpe alter wine alafu kula na yeye pia hapo utakua umetishaHabari zenu wote.
Tangu miaka kama minne iliyopita nilikuwa namtamani sana shemeji yangu, lakini kutokana na ushemeji sikuweza kumwambia chochote. Nilikuwa nawaza namna gani siku moja nijaribu kuweka mazingira ya mapenzi ili yakikubali napiga mashine, yakishindikana nayeyusha kama sioni. Shemeji yangu ni mzuri sana lakini mwanzoni nilimuona kama ana mashauzi kupitiliza.
Miezi miwili ilopita mke wangu alisafiri kwenda kujifungua kwao akamwacha shemeji alikuwa amekuja kufuatilia mambo ya ajira za halmashauri. Akawa busy kidogo na mambo ya interview ila kila akitoka anakuja kulala kwangu. Mara nyingi huwa nachelewa kurudi kwa sababu nafanya kazi mbali kidogo, so mambo ya usafiri n.k.
Nilianza kuonesha mazoea, kwa kipindi hiki. Nikawa namwachia hela za matumizi, ili akimaliza mishe zake mapema afanye maandalizi ya dinner. Tulianza kama utani, mara akawa ananiuliza "nikuandalie nini leo shem?" namjibu chochote utakachopenda. Na mimi nikawa namuuliza nikuletee zawadi gani shem? Na yeye ananijibu yeyote utakayopenda shem.
kuna siku nikaleta zawadi ya ALTER WINE, nikamwambia leo tunakunywa wote hii shem. Aliuliza haileweshi? Nikamwambia ni divai, haina kilevi.... akanijibu sawa shem, bahati nzuri haijaandikwa kiwango cha alcohol iliyopo. Baada ya kila kitu, tulianza kunywa, kwa kweli ni tamu ile wine, baada ya hapo aibu ilianza kuisha kupita kawaida. Shortly, nilijikuta nimeeleza hisia zangu kwake.... yeye pia kumbe alinipenda ila hakuweza kusema kwa sababu ya huu ushemeji. After that..... we did what we did. Kesho yake tuliamka kila mtu akasambaa kwenye mishe zake. Kabla ya kurudi Nilimuuliza tena, baby nikuletee zawadi gani? Alinijibu yeyote mme, ila isiwe kama ya jana. Baada ya hapo jioni kama kawa tulilala wote, and we did the same.
Now shemeji ameshakuwa kama mke, maana kila akienda kwenye mishe zake nje ya mkoa au hata akienda kwao hawezi kuzidi wiki anakuja. Na mawasiliano yamekuwa juu kuliko ilivyokuwa mwanzo, kila baada ya masaa mawili, txt au calling. Mke wangu anakuja wiki ijayo, na shemeji is deadly fallen in love. Nimemuuliza tutafanyaje dada yake akija? Amesema akiwa na hamu tutakuwa tunakutana mahali pasipojulikana, na hata akiolewa tutazaa nae lakini atamsingizia mume wake.
Nifanyeje niondoe hili janga? Wote kweli tumependana..... aliondoka wiki ilopita anakuja leo for sex. Anadai amenikumbuka sana. Naombeni msitukane, maana hata mimi sijielewi kwa mapenzi ya shemeji.
Na ww mkeo akikumix n rafk zako au ndugu zako wa damu wa kiume utajiskiaje? What goes around comes around... Betta watch urselfHabari zenu wote.