Msaada: Nilikutana na mwanamke siku moja baada ya siku zake ya hatari. Hali hii imetokea

Hicho kipimo hapo juu kinaonesha Ana mimba au hana bandugu
mademu siku hizi wajanja..mwambie apime na wewe uwepo! ilishawahi kutokea demu alitaka kucheza mchezo kama huo! kachukua urine ya mama mjamzito huko akaweka kwenye kichupa kitu ipo! apime mbele yako
 
Mzee baba Kama mimba imo mkojo hata uwe wa saa 8 mchana na jua lake kinasoma imo.

Sema swali langu nikua inakuaje dem atumie P2 ndani ya masaa24 afu mimba isome ?
Earlier is better,ndani ya 24 hours P2 hufanya kazi kwa umahili mkubwa.
Lakini ili kuweza kujiridhisha basi apime tena na kama IMO basi wakae wajadili imeingiaje ingiaje.
 
Mzee baba Kama mimba imo mkojo hata uwe wa saa 8 mchana na jua lake kinasoma imo.

Sema swali langu nikua inakuaje dem atumie P2 ndani ya masaa24 afu mimba isome ?

Iliwahi nitokea
Nahisi kuna p2 feki au sijui shida ni nini

Anyways kwani unashindwa nini kumwita mlipokutania ukanunua UPT Akapimia hapo?

Wala huna haja ya kumwambia unakuja kumpima
 
Kwa wale wajuzi wa kuchunguza hiki kipimo kama kimescreenshotiwa hata tukiangalia mazingira sio rafiki Kwa maisha yetu I mean chumbani hiyo marble akiyotumia na uhakika hana

Mwisho kbsa kajipimia nyumbani na sio hospital hii picha inanipa ukakasi mm kama nahadawa hapa View attachment 1906125
hii mzee yako hii mule mule jiandae tu kua baba kija
 
Huyu manzi anataka kunipiga PESA hakuna namna ngoja nimkazie

Kuna mda nimwambia tukapime hospital akagoma anadai why simuamini
mstari ukiwa mmoja -ve
mistari ikiwa miwili +ve aka imooooooo
 
Kama naelekea kupigwa pesa disign flan hap maana huyu Manzil Kam simuelewi flan hiv hata hizi picture kagoogle alizonitumia
 
P2 alinihakikishia alimeza na last time aliona dalili za siku zote but ilikuwa separated Sana chanzo nahisi ni p2 lknncha ajabu toka Jana analalamika anajisukia vibya sijui mara kutapika sijui sijisikii kula promo
 
Huyu anataka kunipiga pesa hakuna kingine ngoja nikomae mpaka nimpime
 
Earlier is better,ndani ya 24 hours P2 hufanya kazi kwa umahili mkubwa.
Lakini ili kuweza kujiridhisha basi apime tena na kama IMO basi wakae wajadili imeingiaje ingiaje.
P2 sio uzazi wa mpango Ni emergency levonorgestrel.... Kwahiyo usifikiri inasaidia nyakati zotee....na Kama mtumiaji ameitumia kwa muda mrefu sana..mwili ..unazoea..so hufanya kazi kwa. ..tabu.
Na sio watu wote humeza na ikamsaidia..maana nimeona kwa watu kadhaa walimeza within 72hrs na wakawa mama vijacho.
 
I know better than you bro.
 
Kwa wale wajuzi wa kuchunguza hiki kipimo kama kimescreenshotiwa hata tukiangalia mazingira sio rafiki Kwa maisha yetu I mean chumbani hiyo marble akiyotumia na uhakika hana

Mwisho kbsa kajipimia nyumbani na sio hospital hii picha inanipa ukakasi mm kama nahadawa hapa View attachment 1906125
Nenda pamoja nae hospital mkapime
 
Katika kupima ananiletea haya majibu ndugu zangu hapo mzigo umetiki au View attachment 1906059
Ni mda gan umepita tangu umgegede mkuu? Sabab hiko kipimo kinaonyesha mimba kubwa kdg siyo ya mwez hiyo ni zaid ya mwez!! Ss kama hana mwez haujatimia vizur halafu kakutumia hayo majibu kuna mawili anakuchora au anataka akubebeshe mimba!!! Mimba changa hua mstar mmoja umekoza na wapil umefifia!! Lkn hiyo yote imekolea maana yake siyo changa kiivyo
 
Hapo nunua kipimo kingine apime ukiwepo,,,siku hz wanaomba hela ya p2 alafu badae wanasema p2 haijasaidia wanataka hela ya miso
 
Habari za leo wakuu natumaini mpo wazima kbsà tena wa afya,

Tuende katika mada yetu. Last months nilikutana na demu mmoja hivi final nikaforce nikala mzigo unfortunately alikuwa ametoka kwenye siku salama jana alafu mimi nikakutana nae leo. Hapa nashindwa kuelewa mbegu ilichepua au ilifia ndani ya shimo .Mwenyewe anasema hajielewi dizaini flan hivi NOTE .baada ya mechi alitumia p2 ndani ya masaa 24

Wenye ujuzi kidogo katika hili mnisaidie kiushauri sipendi kuongea single mothers katika jamii yetu

Nipo dilema sielewi kbsà .Mpaka najuta

Ana mimba huyo na ni ya kwako!! Na ni kawaida kabisa ikitokea kwenye tarehe hizo!
 
Back
Top Bottom