Msaada: Nilikutana na mwanamke siku moja baada ya siku zake ya hatari. Hali hii imetokea

Ni sawa Kama ni mjamzito....maana p2haizui mimba nyakati zote ...mkuu..jipange kulea
 
Kwa wale wajuzi wa kuchunguza hiki kipimo kama kimescreenshotiwa hata tukiangalia mazingira sio rafiki Kwa maisha yetu I mean chumbani hiyo marble akiyotumia na uhakika hana.

Mwisho kbsa kajipimia nyumbani na sio hospital hii picha inanipa ukakasi mm kama nahadawa hapa.

IMG-20210824-WA0002.jpg
 
Kwa wale wajuzi wa kuchunguza hiki kipimo kama kimescreenshotiwa hata tukiangalia mazingira sio rafiki Kwa maisha yetu I mean chumbani hiyo marble akiyotumia na uhakika hana

Mwisho kbsa kajipimia nyumbani na sio hospital hii picha inanipa ukakasi mm kama nahadawa hapa View attachment 1906125
Mbona hapo inaonesha ni kama kitandani. Kipimo kinauzwa buku ukifika mwambie akojoe kny kopo upime kwani sh ngap.
 
Kwa wale wajuzi wa kuchunguza hiki kipimo kama kimescreenshotiwa hata tukiangalia mazingira sio rafiki Kwa maisha yetu I mean chumbani hiyo marble akiyotumia na uhakika hana

Mwisho kbsa kajipimia nyumbani na sio hospital hii picha inanipa ukakasi mm kama nahadawa hapa View attachment 1906125
Ni muda gan umepita,kuwa makini.. wengine wanachukua mkojo wa mama mjamzito na kupima ili tu akuchachafye.
 
Kuna kipimo kanitumia hapo juu kinaonesha anaujauzito ebu go previous uje uniambie mkuu
Nenda nae hospitali wewe, ukimsikiliza kiivo mwanamke huwez kumshinda atakudanganya tu.
Kuhusu kipimo ingia youtube ujifunze mwenyewe mkuu hapo unajipa presha tu na vipi ukiambiwa kipimo kinaonesha anayo??
 
Habari za leo wakuu natumaini mpo wazima kbsà tena wa afya,

Tuende katika mada yetu. Last months nilikutana na demu mmoja hivi final nikaforce nikala mzigo unfortunately alikuwa ametoka kwenye siku salama jana alafu mimi nikakutana nae leo...
Kama yai lilikuwa lishapasuka hakuna kitu hapo anataka kula hela huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu manzi anataka kunipiga PESA hakuna namna ngoja nimkazie.

Kuna mda nimwambia tukapime hospital akagoma anadai why simuamini
 
Huyu manzi anataka kunipiga PESA hakuna namna ngoja nimkazie.

Kuna mda nimwambia tukapime hospital akagoma anadai why simuamini
Mkuu usiogope kulea,nenda kanunua kipimo,chukua kopo dogo safi na kavu akojoe apime tena.
Kama ipo basi mkafungue kadi ya kliniki ya mama mjamzito.

Zingatia: Wanashauri kipimo kifanyike baada ya wiki 2,lakini pia mkojo wa kupima ni ule wa kwanza asubuhi.
 
Mzee baba Kama mimba imo mkojo hata uwe wa saa 8 mchana na jua lake kinasoma imo.

Sema swali langu nikua inakuaje dem atumie P2 ndani ya masaa24 afu mimba isome ?
 
Back
Top Bottom