Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 2,551
- 3,295
mademu siku hizi wajanja..mwambie apime na wewe uwepo! ilishawahi kutokea demu alitaka kucheza mchezo kama huo! kachukua urine ya mama mjamzito huko akaweka kwenye kichupa kitu ipo! apime mbele yakoHicho kipimo hapo juu kinaonesha Ana mimba au hana bandugu