Msaada: Ni chaneli gani zinazoonesha Euro kupitia king'amuzi cha Azam?

TBC wamepewa ngapi ?

Kuna taratibu zake za kupewa.. sio buree kabisa kuna gharama unalipishwa ila ndogo tofauti na tvs za pay tv.. jiulize kwa nini ligi ya bongo inaoneshwa na azam sports channel.. ila caf champions league zinaoneshwa na zbc2 only.... ila dstv yeye anaonesha kila mechi bila kujali timuza nchi gani
 
Kuna taratibu zake za kupewa.. sio buree kabisa kuna gharama unalipishwa ila ndogo tofauti na tvs za pay tv.. jiulize kwa nini ligi ya bongo inaoneshwa na azam sports channel.. ila caf champions league zinaoneshwa na zbc2 only.... na simu za Tanzania zikitolewa tu caf inaishia hapo hapo.. mfano nusu fainali simba hayupo.. utaona kama azam ataonesha mechi.. ila dstv yeye anaonesha kila mechi bila kujali timuza nchi gani
DSTV wanarusha michuano ya CAF CL toka lini?
 
Kuna taratibu zake za kupewa.. sio buree kabisa kuna gharama unalipishwa ila ndogo tofauti na tvs za pay tv.. jiulize kwa nini ligi ya bongo inaoneshwa na azam sports channel.. ila caf champions league zinaoneshwa na zbc2 only.... na timu za Tanzania zikitolewa tu caf inaishia hapo hapo.. mfano nusu fainali simba hayupo.. utaona kama azam ataonesha mechi.. ila dstv yeye anaonesha kila mechi bila kujali timuza nchi gani
Azam bado wanaonyesha hiyo Caf champions league
 
Kuna taratibu zake za kupewa.. sio buree kabisa kuna gharama unalipishwa ila ndogo tofauti na tvs za pay tv.. jiulize kwa nini ligi ya bongo inaoneshwa na azam sports channel.. ila caf champions league zinaoneshwa na zbc2 only.... na timu za Tanzania zikitolewa tu caf inaishia hapo hapo.. mfano nusu fainali simba hayupo.. utaona kama azam ataonesha mechi.. ila dstv yeye anaonesha kila mechi bila kujali timuza nchi gani
WANAONESHA MKUU
 
Back
Top Bottom