Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 2,203
- 2,881
Hapana mkuu hata zikitolewa timu za tanzania, bado ZBC2 itaendelea kuonesha mashindano ya CAF champions league na CAF confederation kama kawaida mpaka fainali. Kumbuka msimu uliopita na pia hata msimu huu tayari waneshatoa tangazo za mechi zinazofuata kati Es Tunis dhidi ya Al Ahly siku ya jumamosi.Kuna taratibu zake za kupewa.. sio buree kabisa kuna gharama unalipishwa ila ndogo tofauti na tvs za pay tv.. jiulize kwa nini ligi ya bongo inaoneshwa na azam sports channel.. ila caf champions league zinaoneshwa na zbc2 only.... na timu za Tanzania zikitolewa tu caf inaishia hapo hapo.. mfano nusu fainali simba hayupo.. utaona kama azam ataonesha mechi.. ila dstv yeye anaonesha kila mechi bila kujali timuza nchi gani