Msaada: Ni chaneli gani zinazoonesha Euro kupitia king'amuzi cha Azam?

Wa Azam inabakia tu kujifariji na Caf champions league, Caf confederation cup, na ligi kuu ya vodacom

Azam mjanja hataki gharama za kununua mechi zote kama dstv ama espn anatumia zbc2 kupewa mechi kiurahisi... zbc inasomeka kama tv ya taifa zanzibar.. azam anatumia mbinu ya kupewa mechi kama tv ya taifa.. sasa mara nyingi tv ya taifa haipewi mechi zotee.. unapewa chache tu
 
TBC wamepewa ngapi ?
 
Back
Top Bottom