Msaada: Ng'ombe wangu ameanguka tangu juzi anashindwa kusimama

The Donchop

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
294
376
Habari wapendwa?

Ng'ombe wangu ameanguka toka juzi na hawezi kusimama. Ingawa anakula na anajaribu kusimama muda mwingine. Dkt. amejaribu kumwekea dripu jana ila mpaka muda huu hajaweza kusimama.

Msaada tutani wapendwa. Nipo Bagamoyo Kiaraka.
 
Daktari ameondoka hapo?

Endelea kumlambisha madini ukimsubiri daktari na kuomba Mungu mapenzi yake yatimie.

I lost my lovely moo (kitale January hapo daaah nililia sana maana alikuwa na maziwa mengi sana, kaniachia kibinti nakiita malaika)
 
Ameondoka. Alidai akiwekewa dripu tu atasimama. Lakini bado hajasimama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpigie aje haraka au tafuta mwingine, ni rahisi kumtibu mnyama akiwa anamuona, sisi wazoefu wa humu tunaweza kukutajia dawa isifae sana vile hatumuoni mnyama.

Anakamuliwa huyo ng'ombe? Ilikuwa ukimuongezea madini kwenye chakula chake?
Vitamin na matibabu ilikuwa ukizingatia

Ni aina gani ya ng'ombe?
 
Mkuu unaweza fahamu daktari yeyote mzuri unisaidie mawasiliano yake? Nipo Dar
Mpigie aje haraka au tafuta mwingine, ni rahisi kumtibu mnyama akiwa anamuona, sisi wazoefu wa humu tunaweza kukutajia dawa isifae sana vile hatumuoni mnyama.

Anakamuliwa huyo ng'ombe? Ilikuwa ukimuongezea madini kwenye chakula chake?
Vitamin na matibabu ilikuwa ukizingatia

Ni aina gani ya ng'ombe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kawekewa dripu jaribu kumsimamisha lakini pia kuna madini maduka ya dawa za mifugo achilia mbali jiwe la kulamba yako kama chenga chenga. Jina nimesahau. Na msimuache alale tu jaribu kumsimamisha.
 
Hpo inaweza kua ni milk fever au downers cow syndrome ambayo hayo magonjwa n pacha yanayosababishw n upungufu wa calcium mwilin.milk fever inatokea sku kbla ya ndan saa sku mbili baad y ngombe kuzaa ikizid hpo inakua downers cow syndrome .cha kufanya mchome calcium borogluconate 800ml-1000ml nusu muwekee IV kweny mshpa w jugular vein na nusu nyngne muweke subcutaneuos chini ya ngozi
Pia mpatie maji ya yaliyachanganywa n glucose itamsaidia kumpa nguvu ya kuamka

Jitahid kumyanyua km mazoez ya kusimama na akianza kusimama fnya km unakimbiza sehem ilkua wazi ili kuizoesha misuli kwny movement hpo atakua sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu za ng'ombe kuanguka na kushindwa kuamka ni nyingi. Si kila ng'ombe anaeanguka ni milk fever km wengi wanavyozani japokuwa ni moja ya sababu.

Ushauri:
Km ni Milk Fever baada tu ya kumpa drip ya madini ya Calcium ni vema kujaribu kumsapoti ng'ombe kwa kumuinua. Hapa inahitajika sana watu wenye nguvu,kuanzia watu 4 mpaka 6.
Ni muhimu kumuinua ng'ombe alieanguka kwani anaweza kuendelea kulala hata km tayari kapata nguvu na hivyo anaweza kupelekea tatizo jingine, la blot (tumbo kujaa gesi) au kupalalaizi hasa miguu ya nyuma.

Lakini pia kwa uzoefu wangu ng'ombe hasa wa kisasa( Maziwa) akianza kuanguka na dalili zikawa si za Milk fever huwa hali inajirudia mara kwa mara na wakati mwingine anaweza asiamke tena hata km utampa drip za glucose au Calcim.

Hivyo km ukiona inafika siku ya 3 hajainuka fanya maamuzi ya kumuuza mapema la sivyo utapata hasara percent.
 
good
 
Angekuwa binadamu mtoto wa kiume tungesema kapiga self service kupita kiasi mpaka kaishiwa nguvu miguuni lkn acha wataalamu waje.
 
Sababu za ng'ombe kuanguka na kushindwa kuamka ni nyingi. Si kila ng'ombe anaeanguka ni milk fever km wengi wanavyozani japokuwa ni moja ya sababu.

Ushauri:
Km ni Milk Fever baada tu ya kumpa drip ya madini ya Calcium ni vema kujaribu kumsapoti ng'ombe kwa kumuinua. Hapa inahitajika sana watu wenye nguvu,kuanzia watu 4 mpaka 6.
Ni muhimu kumuinua ng'ombe alieanguka kwani anaweza kuendelea kulala hata km tayari kapata nguvu na hivyo anaweza kupelekea tatizo jingine, la blot (tumbo kujaa gesi) au kupalalaizi hasa miguu ya nyuma.

Lakini pia kwa uzoefu wangu ng'ombe hasa wa kisasa( Maziwa) akianza kuanguka na dalili zikawa si za Milk fever huwa hali inajirudia mara kwa mara na wakati mwingine anaweza asiamke tena hata km utampa drip za glucose au Calcim.

Hivyo km ukiona inafika siku ya 3 hajainuka fanya maamuzi ya kumuuza mapema la sivyo utapata hasara percent.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah hii sasa ndo downers syndrome ambayo inatokea ngmbe anapokaa chini kwa mda mrefu kuanzia km saa 24 kwenda mbele au sk mbili ambapo kukaa mda mrefu kuna induce presure kati ya misuli na nerves za miguu ya paja na myama sasa anaanza kulemaa ndo maan ni muhim kujaribu kumuinua mnyama kama zoezi na kumpatia dawa au vyakula vyenye calcium na phosphorous itanasaidia na mara nyingi inakua n milk fever japokua mda mwngine kuna ngombe anaweza akipata fmd(foot and mouth disease) kwa maumivu hua anakaa chini ingawa sio kama hio milk fever
 
Kama kawekewa dripu jaribu kumsimamisha lakini pia kuna madini maduka ya dawa za mifugo achilia mbali jiwe la kulamba yako kama chenga chenga. Jina nimesahau. Na msimuache alale tu jaribu kumsimamisha.
DCP NA VITAKIN SUPPLIMENTS
 
Back
Top Bottom