mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 977
- 176
Wakuu nipo ndani ya al saedy natoka dom naelekea dar, kwa naomba zile namba za maofisa wanaohusika na usafiri naskia walitoa juzi ili kikiwaka tu nitoe taarifa.....safari njema kwangu
Kwani kuna nini?? Subiri nizitafute. Safari njema!Wakuu nipo ndani ya al saedy natoka dom naelekea dar, kwa naomba zile namba za maofisa wanaohusika na usafiri naskia walitoa juzi ili kikiwaka tu nitoe taarifa.....safari njema kwangu
Hahahahaha! Mi naombeni namba za mohamed trans.
safari njema, vipi mmeshafika kibaha? kwa mbele kidogo kuna askari ndo utaripotiNtashukuru......mpaka sasa hakuna tatizo ila nazitaka just incase si unajua safari hatua
Ntashukuru......mpaka sasa hakuna tatizo ila nazitaka just incase si unajua safari hatua
Wakuu nipo ndani ya al saedy natoka dom naelekea dar, kwa naomba zile namba za maofisa wanaohusika na usafiri naskia walitoa juzi ili kikiwaka tu nitoe taarifa.....safari njema kwangu
Ntashukuru......mpaka sasa hakuna tatizo ila nazitaka just incase si unajua safari hatua
Hizo namba zinatakiwa kuwepo humo ndani ya basi... kila basi lazima liwe na namba za RTO wa mkoa linakopita, waulize hao wahudumuWakuu nipo ndani ya al saedy natoka dom naelekea dar, kwa naomba zile namba za maofisa wanaohusika na usafiri naskia walitoa juzi ili kikiwaka tu nitoe taarifa.....safari njema kwangu