Msaada ndani ya al saedy

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
Wakuu nipo ndani ya al saedy natoka dom naelekea dar, kwa naomba zile namba za maofisa wanaohusika na usafiri naskia walitoa juzi ili kikiwaka tu nitoe taarifa.....safari njema kwangu
 
Kwani kuna nini?? Subiri nizitafute. Safari njema!
 
Ntashukuru......mpaka sasa hakuna tatizo ila nazitaka just incase si unajua safari hatua
 
hivi unatoka songea kwenda dar kwa bus!unategemea dereva ataendesha 80km per hour?km 1400
 
mystery sisi tulisha acha kupanda mabasi ya waarabu,wanatumia sna majini mtu wangu,tafuta basi la mbongo mweusi mwenzio
 
Wakuu nipo ndani ya al saedy natoka dom naelekea dar, kwa naomba zile namba za maofisa wanaohusika na usafiri naskia walitoa juzi ili kikiwaka tu nitoe taarifa.....safari njema kwangu

Haya mkuu safari njema.
Na wewe ulikuwa miongoni mwa maHR 2226 walienda kufanya interview?
 
juzi walisema wanabandika stika 2 zenye namba za simu kwa kila bus linalo kwenda mkoani,
sasa inakuwaje Al Saed hakuna hizo stika?? au ndio wameshatoa kuepuka kuripotiwa??
 
Wakuu nipo ndani ya al saedy natoka dom naelekea dar, kwa naomba zile namba za maofisa wanaohusika na usafiri naskia walitoa juzi ili kikiwaka tu nitoe taarifa.....safari njema kwangu
Hizo namba zinatakiwa kuwepo humo ndani ya basi... kila basi lazima liwe na namba za RTO wa mkoa linakopita, waulize hao wahudumu
 
Back
Top Bottom