Mbwa kala mbwaa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 219
- 391
- Thread starter
-
- #61
Hatua ya kwanza: jisamehe wewe mwenyewe, samehe yeyote unayedhani amewahi kukukosea, samehe wote uliowakosea.
Hatua ya pili: Tazama maisha kwa mbele (yaani future), achana na ya nyuma (past events), panga mipango ya kuboresha maisha ya kesho.
Hatua ya tatu: Mawazo ya kujiua ni mawazo ya kuona maisha hayana thamani, achana nayo, unathamani kubwa sana kuliko binadamu yeyote (aliye hai au aliyekufa); kumbuka, hujafanana na binadamu yeyote, hivyo na dhamani yako haiwezi kulinganishwa na mtu au kitu kingine chochote.
Hatua ya nne: Jikumbushe jambo au tukio maishani ambalo limewahi kukupa furaha na amani ya nafsi. Kila wazo la kujidhuru linapokuja akilini, geuka mara moja na kutafakari jinsi ilivyokuwa burudani kwa tukio la furaha.
Hatua ya tano: Rudia hatua ya nne mara kwa mara. Utashangaa baada ya muda wazo baya hukosa nguvu na taratibu hutoweka kabisa kwenye fikra zako.
hey mumitooooooo ....... nakutegemeaga kwa ushauri ujue, ahsante kwa ushauri wako umefika!
umepotea..adi kule atuonani..duh
we si umeeee...... we si umeeeee..... we usimeeeee.... aahh kumbe huku sio chit and chat!
mm sijambo bhana, nimekumiso ujue!
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
pole sana ndugu
jaribu kukutana na watumishi wa Mungu wakuombee maana unaambiwa hakuna lisilowezekana kwa Mungu. na imani yako ndo itakuokoa.
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
Nashukuru Lady doctor,hivi jana nilikuwa kwa physiochologist,ila nimetaka mawazo yenu maana nimeona ushauri wa wanasaikolojia nimeupokea siku zote,ila msongo wa mawazo upo pale pale
Kama wewe ni ccm, jiue tu huna faida.