MSAADA, Nataka KUJIUA

MSAADA, Nataka KUJIUA

Mbwa kala mbwaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
219
Reaction score
391
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
----------------------

UPDATES

----------------------

Nawashukuru sana wote mlio nishauri katika uzi huu.
MUNGU awabariki.
Nilifanikiwa kuonana na watumishi wa MUNGU baadhi mlio recommend,na walinipatia huduma stahiki.
Infact,ilikuwa demonic case,rather than Phsychiatric kama nilivyo dhani.
Nipo sawa kabisa kimawazo sasa.
MUNGU AWABARIKI WOTE.
 
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.

hali kama hiyo ikemee kwa jina la yesu usipende kukakaa na kitu kinachokuumiza moyoni washirikishe watu kuutua huo mzigo.
 
Advise, rudi kwa alie kuumba muulize hili swali na muombe unachotaka hata ndoto tu, ukijiua utakua hujamtendea wema aliekuumba.
 
Ndugu yangu nakushauri mara moja kupata maombezi nafsi yako imechukuliwa na kuzimu yakupasa kuwapata watumishi wa Mungu wenye upako wakuombee .Nakuhakikishia matatizo yako yatakwisha kabisa, Wala usidhani unahitaji uokoke ndo maombi yafanye kazi la hasha wewe amini tuu.Hii hapa ni namba ya mtumishi wa Bwana atakusaidia 0773000919 anapatikana kanisani KKKT Kimara Korogwe.Nenda ukamwone hakuna malipo,Huduma ni bure kabisa Imani yako ndo itakayokuponya na mauti.
 
Nijuavyo mimi kufa na kuishi yote ni sawa! Ulizaliwa pasipo kutaka - utakufa pasipo kutaka; njia yoyote utakayotumia kuitoa roho ndo namna ulivyopangiwa. Bora kufa kuliko kuteseka kama watu wa Mtwara.
 
Bado unahitaji msaada na ushauri wa kisaikolojia. Tena unahitaji wakati huu kuliko wakati wowote ule. Uzuri wako ni kuwa unajitambua na unajua tatizo lako,hiyo ni dalili nzuri! Nakushauri tena urudi haraka kwa wataalamu wa saikolojia na ushauri nasaha ili uweze kushinda hayo majaribu! Nakutakia kila la kheri!
 
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.

kichwa cha habari nkajua unataka MSAADA WA SUMU ZA KUUA HARAKA
 
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.

Kwa hiyo umeamua ku log out roho yako kama lilivyo jina lako. Pole, ila badili huo uamuzi wako basi, maana huna ruhusa ya kuitoa hiyo roho yako hapa duniani, mwenye uwezo huo ni Mungu tu aliyekuleta hapa duniani ndiye mwenye mamlaka ya kukuita kwake tena, vinginevyo unamkaribisha na kumkumbatia shetani.
 
Piga mahesabu: Je ukifa kuna madhara au mzigo wowte utaaachia waliobaki? Je una sehemu gani katika familia na wanaokuzunguka? Kama huna madhara yoyote utakayowapatia waliobaki basi uamuzi ni wako, ila kama mzigo upo basi baki ukabiliane na majukumu yako ili upunguzie watu mzigo.
 
Hiyo ni dalili kuwa bado hujapona, rudi tena kwa daktari wako akusaidie. Pia jaribu kuchanganyika na watu ili kupunguza msongo wa mawazo. Lakini yote hayo Tisa, kumi achana na hicho kinachokupa msongo wa mawazo na uamini kuwa maisha bila hicho yanawezekana
 
pole! si unajua ukijiua ni sawa na muuaji mwingine, so utaenda motoni kwa kuua! Jiandae kupata tabu na uendako aisee.
 
Naomba unirecomend kwa wanafamilia yako ili siku ukijiua nipate tenda ya kulisha wafiwa na wageni siku ya mazishi yako!
Ntashukuru sana endapo utalijali ombi langu...kwani kufa kufaana bwana:nod:!
 
Pole sana! Hiyo ni roho chafu, inatakiwa kuondolewa kiroho kwa MAOMBI TU. nenda kanisani ukaombewe.
 
Bado unahitaji msaada na ushauri wa kisaikolojia. Tena unahitaji wakati huu kuliko wakati wowote ule. Uzuri wako ni kuwa unajitambua na unajua tatizo lako,hiyo ni dalili nzuri! Nakushauri tena urudi haraka kwa wataalamu wa saikolojia na ushauri nasaha ili uweze kushinda hayo majaribu! Nakutakia kila la kheri!

Ahsante sana mkuu.
 
Back
Top Bottom