Shoo Gap
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 261
- 100
Du! Nimecheka balaaa. Kumbe kuna jamii nyingine watu wanajua kabisa sio watu wa kazi. Mlipotaja Wasukuma nikamkumbuka Magufuli, Mwakyembe angalau ingawa wako ndani ya mfumo uozo wanaonesha uhai. Nikisema tuangalie asili ya viongozi tunaowachagua na uchapaji kazi wa jamii wanazotokea nitaitwa mkabila. BUT "Mzigo mzito mtwishe Mnyamwezi au Msukuma"