Kazi ya kusafisha shamba na kungoa visiki

Kazi ya kusafisha shamba na kungoa visiki

bank

Senior Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
158
Reaction score
24
Habari zenu wana Jamii forum,
Kuna tenda ya kusafisha mashamba na kungoa visiki eneo lipo Kidomole Bagamoyo
Eneo lina eka 1050 ila kwa kuanzia tunasafisha eka 200 zikiisha tunatoa zingine
Kwa kuna mtu anajua watu wanaohitaji hii kazi tuwasiliane haraka ili.Kimsingi wanahitajika wengi ili iishe kwa haraka
Ujira wa kusafisha na kungoa visiki eka 1 n ni sh 100,000/=(Maongezi yapo pia)
Ila Kumbuka tunahitaji watu/vijana wengi kwa muda mmoja kwani tukimpata mmoja mmoja kila mtu na muda wake tutapata shida kusimamia hivyo mnaweza kujikusanya wengi then tukawasiliana

AU KAMA KUNA MTU ANAJUA SEHEMU WANAPOKODISHA BULDOZER KWA BEI RAHISI PIA UTAPEWA HII TENDA YA
KUSAFISHA.

Just PM ME
 
hii kazi watu waipitia kweli? ila imekaa ki engineer zaidi tuwaachie waliosomea
 
Si mmesema nafasi zote mnazihamishia JKT ndo mnaowapa kipaumbeleee, sasa hii mbona mnailetaa huku moja kwa moja?
 
fursa hhiyo wadau, haina specification ya degree fulani, GPA, Haina undugu, haina expirience ya miaka sijui mi5 Haina kujuana,haina mpaka uwe umepitia JKT, haina refa wala rushwa ie anaeomba hatoi rushwa tena mwajiri ndo anaweza toa rushwa kwa anaeomba. Mi nakuja kiongozi
 
Mh me nnavojua kungo'a visiki pekee ni kilo
 
Eka moja anafanya utani ati kilo wewe toa mwenyewe
 
Asanted wadau mlionesha kuhitaji:

Kuhusu kazi tumeamua kufanya kwa Buldozer kwani garama zitapungua kuliko za vibarua
kwani kila aliyekuwa anataka hiyo kazi alikuwa anasema sh laki moja ni ndogo na walikuwawa mmoja mmoja wengi wao

Hivyo kupiga garama za usimamizi wa mtu mmoja mmoja kwa eka 200 ikawa garama inakuwa kubwa zaidi.
ASANTENI
 
Vizuri

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kama mtahitaji mfanyakazi wa kawaida katika ilo shamba kwa ajiri ya kazi zengine yupo ila mshahara usiwe chini ya laki tatu
 
Asanted wadau mlionesha kuhitaji:

Kuhusu kazi tumeamua kufanya kwa Buldozer kwani garama zitapungua kuliko za vibarua
kwani kila aliyekuwa anataka hiyo kazi alikuwa anasema sh laki moja ni ndogo na walikuwawa mmoja mmoja wengi wao

Hivyo kupiga garama za usimamizi wa mtu mmoja mmoja kwa eka 200 ikawa garama inakuwa kubwa zaidi.
ASANTENI

mkuu nina njaa kwel kwel nmekaa nyumban had nmechoka, cwez pata nyingne yoyote huko
 
Hiyo ngoja nku2mie shoka uanzage mwenyew,unadhan visiki mchezo eti laki!
 
Asanted wadau mlionesha kuhitaji:

Kuhusu kazi tumeamua kufanya kwa Buldozer kwani garama zitapungua kuliko za vibarua
kwani kila aliyekuwa anataka hiyo kazi alikuwa anasema sh laki moja ni ndogo na walikuwawa mmoja mmoja wengi wao

Hivyo kupiga garama za usimamizi wa mtu mmoja mmoja kwa eka 200 ikawa garama inakuwa kubwa zaidi.
ASANTENI
Kaka za masiku?
Buldoza wamekuchaji ngapi?
Na kwa siku buldoza inaweza kusafisha heka ngapi?
 
Yuko wapi kakimbia huyu acha kungoa visiki sema nuine yakutumia nguvu pia akili tupoo
 
Back
Top Bottom