Habarini,
mi ni mkulima na nategemea kuotesha mwezi wa 3. Nina tatizo moja, bajeti yangu ya kusafisha shamba haendani na matakwa ya wanakijiji walionizunguka kwa sasa. Niko tayari kutoa 50,000 TZS kwa eka(70X70), ukubwa wa shamba ni ekari 50.
Nimefahamishwa kuwa inawezekana kuajiri kutoka mkoani, nguvu kazi itakayoweka kambi shambani na kulisafisha. Naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu, ili kufanikisha hili-- asante.
shamba liko bagamoyo--njia ya msata.