Msaada: Natafuta mwalimu wa vyombo vya muziki-Morogoro

Moro cwezi kuja Kwani mm Arusha tuu.
vema mkuu, basi ukimsikia mwalimu wa muziki Morogoro kumbuka kutujulisha wana Moro kupitia huu uzi. Nikutakie maisha mema huko Arusha.
 
Mkuu ukitaka wawe wazuri wala usiwapeleke au kuwapa hawa walimu wakukariri ambae anamfundisha mtoto kukariri pia ukimwambia hata iyo uliocheza ni minor anakuuliza minor ndio nn?

Tafuta mwalimu atakae wafundisha kwa kusoma noten kisha maujuzi watajiongezea kadri wanavyokuwa.

Ungekuwa dar ninheku propozia shule ila morogoro sina uhakika.

Wapiga kinanda wa kikatoliki watafute walau hawa wanajua piano tena kwa note tatizo walilonalo wengi wanapiga style moja si watundu.

Walokole wengi hawajui note na wanapiga code tatu tu kwaajili ya mapambio hapa nao kazi kweli kweli.

Wasabato wengi wanacheza na accompaniment piano hawawezi hapa napo si vema mtoto akaanza na accompaniment atakuwa mremavu. Ila ukikuta msabato anaejua note na piano huyo bana usimwache wanajuaga kuchezea sana kwakuwa mziki wao upo katika maadhi mbalimbali, kama vile Jazz, country, RnB nk

Sasa baada ya kukuonesha hayo yote na kwakuwa Tz tunamis sana walimu wa muziki wajuzi. Tafuta mwl wa note, ukikosa tafta mkatoliki wengi wanajua note, akisha wafundisha kusoma staff note. Wapeleke kwa msabato awape sasa utundu flan amaizing wakuchezea piano.

Mwisho kabisa, nunua keyboard ndogo home kwako, download youtube masomo ya kujifunza piano for beginners. Wape mazoezi.

Gitaa sitazungumzia maana nilianzaga tu nikaacha sina uzoefu nalo. Thou badae nitajifunza pia.
Sina hakika Sana na haya uyasemayo. Ila hakuna watu wanapiga chords plus mautundu mengi Kama makanisa yetu ya kiroho....notation playing ni music ya zamani Sana. Na unaweza jua notation na ukashindwa piga nyimbo nnyingi koz nyimbo nyingi zinakuwa composed kwa whole chords sio notes..

Mfano mdogo mtafte mpigaji wa kikatoliki au msabato mwambie akupigie yu hai Jehova ya john Lisu ndio utajua nnachokisema hapa.
 
  • Thanks
Reactions: p2k
vema mkuu, basi ukimsikia mwalimu wa muziki Morogoro kumbuka kutujulisha wana Moro kupitia huu uzi. Nikutakie maisha mema huko Arusha.
Nashukuru sanaa mkuu nawe pia maisha yako Mungu akujalie mema yote!!
 
Mkuu ukitaka wawe wazuri wala usiwapeleke au kuwapa hawa walimu wakukariri ambae anamfundisha mtoto kukariri pia ukimwambia hata iyo uliocheza ni minor anakuuliza minor ndio nn?

Tafuta mwalimu atakae wafundisha kwa kusoma noten kisha maujuzi watajiongezea kadri wanavyokuwa.

Ungekuwa dar ninheku propozia shule ila morogoro sina uhakika.

Wapiga kinanda wa kikatoliki watafute walau hawa wanajua piano tena kwa note tatizo walilonalo wengi wanapiga style moja si watundu.

Walokole wengi hawajui note na wanapiga code tatu tu kwaajili ya mapambio hapa nao kazi kweli kweli.

Wasabato wengi wanacheza na accompaniment piano hawawezi hapa napo si vema mtoto akaanza na accompaniment atakuwa mremavu. Ila ukikuta msabato anaejua note na piano huyo bana usimwache wanajuaga kuchezea sana kwakuwa mziki wao upo katika maadhi mbalimbali, kama vile Jazz, country, RnB nk

Sasa baada ya kukuonesha hayo yote na kwakuwa Tz tunamis sana walimu wa muziki wajuzi. Tafuta mwl wa note, ukikosa tafta mkatoliki wengi wanajua note, akisha wafundisha kusoma staff note. Wapeleke kwa msabato awape sasa utundu flan amaizing wakuchezea piano.

Mwisho kabisa, nunua keyboard ndogo home kwako, download youtube masomo ya kujifunza piano for beginners. Wape mazoezi.

Gitaa sitazungumzia maana nilianzaga tu nikaacha sina uzoefu nalo. Thou badae nitajifunza pia.
Shukrani sana Kaka.
 
Mkuu nipo Dar ...Naomba jina la shule nzuri ya mziki kwa watoto

Panda gari za Tabata segerea, shuka kituo kinaitwa Liwiti au Tabata Posta. Hapo jisogeze hadi mbele ya uwanja wa shule ya liwiti ipo hapohapo barabarani unaposhukia, angalia kibao kina maelezo

Au uliza mtu atakuonesha. Ukiwa hapo kituo cha liwiti uliposhukia ukisimama uelekeo wa kwenda segerea kushoto kuna kigorofa ndio ilipo shule
 
Asante
 
Bado unauhitaji wa walimu?nikuelekeze?mimi nimesoma mpaka grade 2 piano so napiga noten na hata hivi style za kawaida napiga ila bado najifunza sijafika napotamani kufika
 
Leteni Mrejesho Wa Hii Thread Vp Morogoro Hakuna Shule Ya Vyombo Mlivyotaja
 
Back
Top Bottom