Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Yah, tunamtaka Gwajima adhihirishe kwa wazi. Tunataka kujua elimu yake kwa kutuwekea vyeti vyake na majina yake sahihi, wenye data tafadhari. Dawa ya moto iwe moto
Bado kwanza! Hatujamalizana na Bashite. Gwajima atajuwana na misukule yake (waumini wake).tunamtaka huyu Bashite anaetanua kwa kkdi zetu.
[/QUOTE]
 
Wewe umemuajiri Gwajima mpaka utake vyeti vyake,au serikali imemuajiri labda useme unauliza kwa niaba,Acha upuuzi mwambie Bashite aweke vyeti.
 
Ushaona mjasiriamali anadaiwa vyeti mkuu?
Gwajima ni mjasiriamali haina shida ya yeye kutuonesha vyeti vyake.
Tunataka Bashite ambae ni civil servant atuoneshe vyeti
 
Noooooo Vyeti kwanza, mengine baadae. Hv mkuu hua mnatoweza wawili kwnye bakuli la mboga, lazima msubiriane
 
Suala la Bashite halijamalizika wewe unaleta hoja hii. Aliyeanza hapa ni Makonda kwa kunyooshea kidole Gwajima kuwa anadeal na unga, sasa gwajima naye amenyooshea kidole kuwa amefoji vyeti, please think greatly!!!!!!
 
Hatukusubiri suala la unga liishe kwa hiyo haya yote yaende sambamba!Vyeti viko chumbani ama kanisani avionyeshe tu hakuna ubaya
 
Si vyeti tu. Bali ni Proposals na THESIS zake zote.
1. Gwajima atuonyeshe, Masters yake aliandika proposal huhusu TOPIC IPI
2. THESIS yake aliandika KUHUSU nini hasa in specific???
3. Katika PhD. Aliandika THESIS kuhusu NINI???
3.Na lini ali defend THESIS YAKE?

Vinginevyo AKAE KIMYA.
 
Suala la Bashite halijamalizika wewe unaleta hoja hii. Aliyeanza hapa ni Makonda kwa kunyooshea kidole Gwajima kuwa anadeal na unga, sasa gwajima naye amenyooshea kidole kuwa amefoji vyeti, please think greatly!!!!!!
Hv ht km ni kwl Ana vyeti feki...je,kunaondoa uhalali iwapo ni kwl aliowataja wanatuhumiwa kujihusisha na ngada???
 
Gwajima ni baadae. Kwa sasa tunaomba vyeti.
 
Kwa jinsi bashite anavyo zungumzwa! Ningekuwa mimi ningebandika vyeti mpaka kwenye nguzo za umeme
 
Acha uduanz hiyo ni kazi ya kiimani huezi mwingiliaaa eti akuonyeshee cheti au akupe cv juu ya kazi yake...kwanz serikali yenyewe haina dini sasa apo utaongeleaa nin??atakama alikuwa na zero kama bashitee aviusiani....use your six sense broo
 
Gwajima ni mjasariamali na wajasiriamali hua hawaombwi CV

Bashite toa vyeti baba
 
Kwani umeambiwa gwajima ameshika cheo serikalini? Tafuta shahada za ulowapa kura
 
Gwajima,, hapana nawafaham wachungaji,mapadre, mashehe, hawana tabia kama ya jamaa gwajima hapana uchungaji wake ni wakutaka umaarufu tu hapana hana talanta hyo hana hekima, nidhamu yy ni kuropoka tu cjui ana shda gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…