Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,573
Mjini hapa wajinga ndio waliwao....Daaaaah hii hatareeee kwa hyo kama hauna ela unakufa na matatzo yako WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA
Mjini hapa wajinga ndio waliwao....Daaaaah hii hatareeee kwa hyo kama hauna ela unakufa na matatzo yako WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA
Mjini hapa wajinga ndio waliwao....
Huu ni ushirikina/ imani potofu/ cult..itwayo voodoo
Asante kwa wote walio nielekeza kesho tu naenda kuyachukua kwa gharama yoyote.
Hivyo ndivyo vituko vya wakristo Teh Teh...wengi wao hawana tofaiti na washirikina..Kati ya hayo maji na biblia ipi ina nguvu au unaiamini zaidi?!
Hakuna anointed water,yote biashara kaka,huyu t .b Joshua sijui kaipata wapi utume,anatumia majini tu kufanikisha kazi zake
Sasa haya maji huwasaidia nini? Kwanini usichote yako ukaya swalia? Kuna mstari mwembamba sana kati yenu na washirikina maana wote mnaabudu wanadamu ..! Kwani nyie hamuwezi kuswalia maji au hamna imani? Wajinga ndio waliwao...biashara hiyo...
Jaman shida nn? Mimi ndo ntayanunua na Kuya tumia nyinyi hamuwezi acheni vp Jaman
Hivi wewe ni mpagani? waislamu wanatumia maji ya baraka na hata wakristo pia, hebu tueleze tunapokwenda kuzika Sheikh au padri anapomwagia maji kaburini anawanga nini? sisi kanisani kwetu maji yapo mlangoni unachovya kidole unapiga alama ya msalaba ndio tunakwenda kuanza ibada, hivi ukiwa ccm ndio akili zinayeyuka kabisa? hapa wewe ndio umeonesha ni mtu wa shirki.Huu nao ni aina ya ushirikina!