ehee kumbe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2013
- 267
- 155
Watu wengi sana kwa sasa wanasumbuliwa na matatizo makubwa hasa magonjwa.wamehangaika sana kusaka matibabu lakini nafuu kwao imekuwa ngumu.wengine wamekimbilia tiba mbadala. kwa sasa kupitia tv wengi wanashuhudia mahubiri na miujiza ya T.B JOSHUA.kupitia annointing water.kama ilivyo kawaida ya jamii ya wana jf ni kurudisha feedback/mlejesho baada ya matumizi.wale mliokwisha tumia annointing water ya TB JOSHUA tupe matokeo baada ya kutumia kuna mabadiliko?