Msaada: Natafuta annointing water ya T.B Joshua

Msaada: Natafuta annointing water ya T.B Joshua

Ndio maana waumini wa hii dini wanaitwa kondoo
 
Lazima ulipie ivivu wako wa kumtafuta Mungu.
Wakristo ndo maana tunabezwa na waislam,,uvivu. Mtafuteni Bwana maadam anapatikana,mwiteni maadam yu karibu
.....bila kupepesa mnaongoza kwa rushwa ili mje kuwapa akina Joshua
 
Nenda Benjamin Mkapa Tower pale Posta, uliza pale receiption first floor watakuonyesha ofisi yao ilipo . Mara ya mwisho bei ilikuwa ni $50. Jitahidi ufike kabla ya saa nne asubuhi kwani wana muda wao wa kazi

Maelekezo ni sawa ila Anointing Water ni free(bure) isipokuwa kuna DVD, Booklets, vitabu(mirror) zinauzwa(full package) kwa bei hiyo. Ili uweze kuelewa jinsi ya kutumia ni muhimu kununua vitu hivyo. I wish you all the best and best of luck. Narudia tena Morning Water/Anointing Water tena pamoja na Good Morning Stickers are free!
 
Nami nahitaji morning water kuliko kawaida... kama vipi niinbox nami my dear ulivyoyapata...
Ntakuangalizia mkapa tower niliwahi ona ofisi yake pale. Nikumbushe baada ya lisaa limoja nikupe jibu
 
Waheshimiwa,

Naulizia wapi naweza maji ya 'Morning Water' ya TB Joshua au anajua mtu anayekwenda huko niagize?

Natanguliza shukrani.
 
Wana branch yao Dar. Kama hawajahama, wapo jengo la Benjamin Mkapa Posta, karibu na Boutique ya Mariedo

Ooh nice. Ni wenyewe kabisa na ni hayajachakachuliwa? Kwa sababu nimesikia kanisa lake hawana utaratibu wa kuyauza sehemu nyingine yoyote zaidi ya kule nigeria penyewe pale kanisani. Naomba uniambie zaidi unachojua.
 
Back
Top Bottom