Mungu amesema watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa. Hosea 4:6. Wengi sasa hivi hawataki kusikia Mungu anasemaje kwa kusoma Neno lake bali hupenda hadithi zidanganyazo. Hawa matapeli kwa mtindo wa dini wataendelea kujipatia utajiri kwa migongo ya wajinga wengi wasiosoma Neno la Mungu.but why?
Nawe ni miongoni mwa wajinga au matapeli wanaoibia wajinga kwa kuwauzia maji?Usilolijua ni kama usiku wa giza.
Nawe ni miongoni mwa wajinga au matapeli wanaoibia wajinga kwa kuwauzia maji?
Hahaha! nipe andiko mtumishi. wapi imeandikwa maji ya baraka yanauzwa?Hata DAWASCO hawakupi maji ya kuflash choo bure sembuse maji ya baraka!
Upumbavu! Yesu angetoza senti 1 kwenye kufufua na kuponya mpaka leo hakuna mwanadamu angekuwa ameivunja rekodi yake ya utajiri.Yanauzwa dola 150 kwa chupa yenye ujazo wa Lita moja na nusu. Sasa sijajua ghalama ya kuyasafilisha mpaka Tanzania!
kumbe wajinga tunao wengi. nini? dola 150? kweli kuna zaidi ya mazuzu nchi hii.Yanauzwa dola 150 kwa chupa yenye ujazo wa Lita moja na nusu. Sasa sijajua ghalama ya kuyasafilisha mpaka Tanzania!