dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,527
Ndugu Wana jf naomba kwa wanaoishi daslam mnielekeze wapi ntapata anointing water ya good morning, ya T. B Joshua anaejua hela ni pesa ngapi nisaidieni jamani nina shida na imaniyangu inaamini kupitia anointing water.
Kwanini usiyafanyie mwenyewe hiyo Anointing...Kwani unadhani kuna kitu gani cha ziada anacjofanya zaidi yakuyasemea NENO.....namna hii ndio inapelekea kudhani watumishi wa MUNGU kama wanatumia uchawi jambo ambalo sikweli...so haijalishi ninani analitamka chamuhimu umelitamka NENO la MUNGU lazima kusudi lake litimie maana anasema NENO lake halitamrudia bure