Msaada: WhatsApp haifanyi kazi

Msaada: WhatsApp haifanyi kazi

mshamu

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
418
Reaction score
134
Natumia techno c8 WhatsApp yangu haifanyi kazi kwa kutumia mobile data. Nikitumia WiFi inafanya kazi. Tatizo ni nini hapo wataalamu. Msaada tafadhali. Yani ukitumia mobile data internet inashuka mpaka 0


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni whatsapp tu au app zote hazina internet? pengine hujaeka bado settings za internet.
 
kama ni whatsapp na ucbrowser inamaana ni app ya Tecno ndio inafanya hivyo,

sikumbuki exactly jina lake ila ni kitu kama hi manager inakuja na tecno inalimit data, app ulizodownload zinashindwa kutumia interent

itafute hio app humo kwenye simu yako kisha ifungue halafu kwenye data limit eka kama gb 999 kisha itafute na whatsapp na uc zitoe kwenye limit zieke ziweze kutumia data.

kama kuna mwenye Tecno atakupa step za kufanya kwa ufasaha zaidi
 
Back
Top Bottom