Pole ya nini, kwa mume anayeshindwa kutatua tatizo Kama hili,mpaka anajifedhehesha JF?Pole ndugu yangu, matokeo ya Beijing
Hakuna cha Pole hapa. PIGA TU, THERE IS NO WAY!!!
Vumilia
Pole ya nini, kwa mume anayeshindwa kutatua tatizo Kama hili,mpaka anajifedhehesha JF?Pole ndugu yangu, matokeo ya Beijing
Vumilia
duh yaani umetoka kupizi unashushiwa na kibano wakati mwili tayari umechoka. Pole sanaRejea kichwa cha habari
Toka nmeowa sina raha na ndoa napigwa na kunyanyaswa na mke wangu.
Jana tumefany mapenz nmewahi kumwaga kanipga kisa hajafika kileleni msaad tafadhal
Huyo shemeji yako wa mkoa gani vile?Pole Jamani Du Kuna Wanawake Hatari, Kama Kwel Wanawake Wa Mbeya Wanapga Naeza Kukubali Mana Kuna Shemeji Yangu Hua Anapgwa Na Mke Wake Hadi Huruma Unamuonea Yani Hatakiwi Kusema Chochote Zaidi Ya Ndio Au Hapana Na Mke Wake Akitoka Nje Anasimulia Nimemtandika Sana Mume
Samahani mkuu,nimejibu kwa hasira.Unajua JF ina majukwaa mengi,watu wameng'ang'ania upande ule pendwa kisa BASHITE mpaka wanasahau majukumu ya kifamilia.Badala ya kumuandaa mpenzi wako,unamsimulia story za vyeti feki vya BASHITE,kweli??? Mwanamke akichepuka aje kulia lia JF!!! Maajabu!
Mkuu usijali kuchepuka ni tabia ya mtu lakini mwanamke anae jitambua huchukua jukumu la kuzungumza na Mme wake na swala la mke kumpiga Mme ujue Mme hajitambui anaweza akawa mlevi au anatumia madawa ya kulevya na asiwe na maamzi juu ya mwili na utimamu wa akili mwanaume anae jitambua huwezi kupigwa na mke wakeSamahani mkuu,nimejibu kwa hasira.Unajua JF ina majukwaa mengi,watu wameng'ang'ania upande ule pendwa kisa BASHITE mpaka wanasahau majukumu ya kifamilia.Badala ya kumuandaa mpenzi wako,unamsimulia story za vyeti feki vya BASHITE,kweli??? Mwanamke akichepuka aje kulia lia JF!!! Maajabu!
Weeeeee kuwa makini na kauli zako utafiti huo umeutoa wapi ?utakua umeoa mtu wa Mbeya nini? Tafiti zaonesha unyanyasaji wa kijinsia kwa wanaume umekithiri sana Mbeya (sina source)
Pole sana mkuu! Kua kidume. Wanawake nao wanaangalia dizain ya wanaume wa kuwaonea!
Weeeeee kuwa makini na kauli zako utafiti huo umeutoa wapi ?


fiki ummanyani gwangu?hahahaha happy women day haaaaaaaaaaa nimecheka sana kwakweliRejea kichwa cha habari
Toka nmeowa sina raha na ndoa napigwa na kunyanyaswa na mke wangu.
Jana tumefany mapenz nmewahi kumwaga kanipga kisa hajafika kileleni msaad tafadhal