Msaada: Napigwa na mke wangu

Msaada: Napigwa na mke wangu

Rejea kichwa cha habari,

Toka nimeoa sina raha na ndoa, napigwa na kunyanyaswa na mke wangu.
Jana tumefanya mapenzi nimewahi kumwaga kanipiga kisa hajafika kileleni.

Msaada tafadhali

Vyeti unavyo???maana nyie wa kulialia......!!!
 
Yaani mada zako huwa sizielewi elewi kabisa. Anyway kila mtu na style yake
 
utakua umeoa mtu wa Mbeya nini? Tafiti zaonesha unyanyasaji wa kijinsia kwa wanaume umekithiri sana Mbeya (sina source)

Pole sana mkuu! Kua kidume. Wanawake nao wanaangalia dizain ya wanaume wa kuwaonea!
Mara vp?
 
Bwege wewe? Au umo ndani ya boxer umebeba kiharage? Acha kuongea uhanithi mbele ya sisi wanaume.. Mwanaume mzima unapigwa na manzi?! Bloodfool
 
Rejea kichwa cha habari,

Toka nimeoa sina raha na ndoa, napigwa na kunyanyaswa na mke wangu.
Jana tumefanya mapenzi nimewahi kumwaga kanipiga kisa hajafika kileleni.

Msaada tafadhali
Pole mwaya mie najua wa Kenya ndio wanapiga Wanaume kumbe hata kwetu TZ wapo? njoo tanga hatupigi ni mapenzi tuu..
 
acha u.....nge bwege mkubwa we, wadhani tupo kenya hapa, mijitu mingine mifara sasa kuandika hapa ili tufanyaje? acha uzoba either achana nae au pigana na wewe. farasi mkubwa wee.
 
TENGENEZA SHS 17,000,000 NDANI YA MIEZI 6

Ukijiunga na ADSCASH kuanzia sasa hivi unaweza Kupata kipato cha zaidi ya Tshs 17,000,000 ndani ya muda mfupi ujao wa miezi 6 tu!

Kwenye kampuni ya ADSCASH Kuna vifushi vipatavyo 7 vyenye nyota zenye coin hadi 4000!!

Naomba kwa kifupi tu nikufafanulie kifurushi cha nyota 5 na kifurushi cha nyota 7 tu uone maajabu ya kipato kwenye Sarafu hii mpya ambayo inazinduliwa mwisho wa mwezi huu wa Machi!!

Ukinunua Kifurushi cha nyota 5 maana yake wewe utakinunua kwa zaidi ya shs 50,000 kama uwekezaji wako kwenye kampuni na hapo utapata coin 1000!!!!

Hizo coin 1000 + 100 utakuwa na coin 1,100. Endapo utazibadilisha kuwa dollars au Bitcoins hapo ndipo utapewa fedha!!

Kama coin moja itakuwa $1 utalipwa $ 1,100 takribani shs 2,600,000 hivi!

Kama coin itakuwa ni $5 wewe hapo utakuwa na utajiri wa $5,500 au shs milioni 13,000,000 hivi!

Na kama coin moja itapanda bei hadi kufikia$10 ( eeeeh Mungu saidia ipande haraka) mtu mwenye kifurushi cha nyota 5 hicho atakuwa na $11,000 sawa na zaidi ya shs 25,000,000!!

Kwa hiyo mtu mwenye kifurushi cha nyota 5 huo ndo ushuhuda wake utakavyokuwa kwa mwaka mmoja huu ndani ya Adscash business!!

Mambo matamu sana yanakuja!! Wajasiriamali wa ukweli huwahi fursa za ukweli!!

Ukiwa na kifurushi cha nyota 7 chenye coin zaidi ya 4000+100 utakuwa na uwezo wa Kupata team bonus zote za team yako!!

Hadi siku ya UZINDUZI coin za adscash zitakuwa na bei ya centi 2.5 za kimarekani!! Coin 4000 utazinunua kwa USD 100 !! Baada ya uzinduzi wa kampuni hii coin zako 4100 utaweza kuzitoa au withdraw 4100 kwa rate ya $1 au $2! Hapo sasa coin zako 4100 zitakuwa na thamani ya $4,100 sawa na Tshs 9,500,000 hivi kwa rate ya $1 kwa coin!

Kama coin moja itakuwa$2 hapo utakuwa na
$8,200 sawa na Tshs 17,000,000 hivi!

Endapo mtu mwinye team kubwa hatanunua package yoyote hatapata pesa hiyo! Ataambulia coin 100 tu hizo za Bure!

Na huu utakuwa ujinga wa hali ya juu kuamua kujiunga na wajinga wasioona mbali!! Yaani wewe unaweza kuanzia wapi kwa mfano kuacha kuwekeza kwenye Sarafu za adscash kwa shs 250,000 ambazo zaweza kukupatia Tshs 17,000,000 baada ya miezi mitatu au sita?

Jiunge sasa kwa Link hiyo chini na upate coins 100 bure kisha utakuja kuamua uwekeze katika kifurushi gani kulingana na uwezo wako.

(AdsCash a new secure ,decenralized cryptocurrency exclusively for the Adworld. A new advertising payment system.)
 
utakua umeoa mtu wa Mbeya nini? Tafiti zaonesha unyanyasaji wa kijinsia kwa wanaume umekithiri sana Mbeya (sina source)

Pole sana mkuu! Kua kidume. Wanawake nao wanaangalia dizain ya wanaume wa kuwaonea!
Wanyakyusa wabAbe
 
we utakuwa 'nyondenyonde' tu.. cheki jina 'bishororo' linaakisi kupigwa tu

MPE show hata za kuiga...we unaihurumie 'K' wadhani ni sabuni...sugua hata na tochi.. alaa!
hahahahahaaaaaa kazi kweli kweli
 
Yawezekana Umekua mpole sana na unamuendekeza.. You are a man chukua Nafasi yako
 
kenya kuna chama kinaitwa MAWE kinatetea haki za wanaume wanapigwa na wake zao nenda ubalozi kwa maelezo zaidi......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom