Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,199
- 54,413
Ni aibu sana. Mwanaume kupigwa na mke wake. Ww ndio baba wa nyumna.. mke anakupigaje? Mfumue.. mpaka apate akili
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] una experience nao nini?kama ni kutoka mbeya kimbia upesi kimbia haraka...
Mwambie akatoe mahali kwenu.Rejea kichwa cha habari
Toka nmeowa sina raha na ndoa napigwa na kunyanyaswa na mke wangu.
Jana tumefany mapenz nmewahi kumwaga kanipga kisa hajafika kileleni msaad tafadhal
Kwani wewe ni kutoka ile nchi ya jirani? Maana huko ndiyo nnasikiaga case nyingi za wanaume kupigwa na wake zaoRejea kichwa cha habari
Toka nmeowa sina raha na ndoa napigwa na kunyanyaswa na mke wangu.
Jana tumefany mapenz nmewahi kumwaga kanipga kisa hajafika kileleni msaad tafadhal
We tutake radhi wanaume mbeya huwa hawapigwi na sijawahi ona huku mbeya mwanaume akipewa kipondo na mwanamke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakua umeoa mtu wa Mbeya nini? Tafiti zaonesha unyanyasaji wa kijinsia kwa wanaume umekithiri sana Mbeya (sina source)
Pole sana mkuu! Kua kidume. Wanawake nao wanaangalia dizain ya wanaume wa kuwaonea!
Rejea kichwa cha habari
Toka nmeowa sina raha na ndoa napigwa na kunyanyaswa na mke wangu.
Jana tumefany mapenz nmewahi kumwaga kanipga kisa hajafika kileleni msaad tafadhal
Huko kumwaga haraka,alikua ana kimbilia wapi?Apigwe tuSasa na wewe kwanini unatangulia kufika kabla yake?