Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,039
Hahahahah nacheka kama vile mazuri, ila pole kwa vipigo.
Kwa wanaotaka kuoa angalieni na uwiano wa nguvu zenu.
Kwa wanaotaka kuoa angalieni na uwiano wa nguvu zenu.
Kwani mleta mada amedisclose location yake? Unajuaje kuwa na yeye sio mwanaume wa daslamVijana wa mikoani shida!
Kulia mnalia ninyi,kupigwa mnapigwa ninyi.....
Any way kafungue mashtaka kituo cha polisi ukishindwa tafuta kijana wa Dar akufundishe kuepukwa kupigwa na mwanamke
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Ukitoka hapa kimbia kanisani kamwage chozi. Daudi mkubwa wee!
Mwanaume kamili hawezi kukubali kupigwa na mwanamke kwa hali yoyote.nimejifunza kitu sitaowa mbeya naile miili wakipiga inaonyesha wanapiga haswaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ohoooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora ww unapigwa na mke wenzio wanapigwa na michepuko...vumilia
Duh!!!Pole Jamani Du Kuna Wanawake Hatari, Kama Kwel Wanawake Wa Mbeya Wanapga Naeza Kukubali Mana Kuna Shemeji Yangu Hua Anapgwa Na Mke Wake Hadi Huruma Unamuonea Yani Hatakiwi Kusema Chochote Zaidi Ya Ndio Au Hapana Na Mke Wake Akitoka Nje Anasimulia Nimemtandika Sana Mume
Kwel ni mnyakyusa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakua umeoa mtu wa Mbeya nini? Tafiti zaonesha unyanyasaji wa kijinsia kwa wanaume umekithiri sana Mbeya (sina source)
Pole sana mkuu! Kua kidume. Wanawake nao wanaangalia dizain ya wanaume wa kuwaonea!
Naww umeyataka mwnyw toka lini swala akaoa temboNa kilo 55 yeye 80