Msaada naona hii hating capacity itaniumiza

Yasiyo rasmi maana yake tayari unaye ambae ni rasmi kwako lkn bado unaenda na kwingine. Huo ni umalaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutongozwa sio mahusiano. Mahusiano ni hatua ya ndani zaidi yaani in English we call it intimacy. Hii ni hatua sasa tunasema; Tuna mahusiano. Kutongozwa ni application. Hujakubaliwa.
 
tatizo sio kuachwa tatizo ni kuwekeza kwenye uhusiano.Inategemea umeachwaje na wewe uliwekeza kiasi gani ila kama inakuumiza sana tafuta mtu uongee naye....TALK about IT
 
Yasiyo rasmi maana yake hayatambuliwi na wazazi iwe uwe na mtu mmoja au zaidi ya mmoja

Hata ukiwa na mtu zaid ya mmoja na Wote wanatambuliwa na wazazi hayo ni rasmi sema huo utakua umalaya
Mapenzi ni baina ya watu wawili, wazazi wanahusika vipi? Bila wazazi kurasimisha sio uhusiano?
 
Mapenzi ni kama mtu yule alieenda sokoni kununua embe, akachagua lililoiva akaliacha bichi je ..ungekuwa wewe embe bichi ungechukia na kukataa kuuzwa? Si uko sokoni..wapo wajawazito wanaopenda maembe mabichi..watakununua..moral of the story...ukiona hakupendi jua kapata mwingine...tulia wanaokujali watakuja bana..usijistress.....mwache aende..subiria wako wa ukweli atakupenda kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…