Naogopa kuanzisha mahusiano mengine naona n mapema mnooo nataka nipone kwanza like 2-6 years
Sent using Jamii Forums mobile app
Heeee only 22yrs !! Ohh bado utaumia tena mara 2 kisha hapo utajua mbinu zote za kujinasua fasta ukiona tu vidalili
Asante mkuu1. Maumivu hayaji kwa lengo la kukuumiza bali kukupa funzo.
2. Usimchukie mtu (hata kama sio mpenzi) sababu chuki inamuathiri yeye na wewe pia.
3. Usikatae ukweli kwa yaliyotokea, kubaliana na kila kilichotokea ni part ya maisha.
4. Wapo wengi wenye mapenzi ya dhati na kukujali wanakusubiri wewe tu, uruhusu nafasi hiyo upate mtu sahihi.
5. Kuacha na kuachwa ni jambo la kawaida sana katika maisha, unachotakiwa ni kusonga mbele na maisha yako.
6. Tambua mtu sahihi kwenye maisha yako hawezi kukuacha, wala huwezi kumuacha. Ikitokea mmeachana basi tambua huyo hakuwa sahihi kwako.
7. Kuwa na kawaida ya kumshukuru Mungu katika maisha yako kwa hali yoyote inayokutokea. Likiwa jambo zuri shukuru Mungu, hata likiwa baya shukuru Mungu.
8. Enjoy maisha yako ukiwa alone, itakufanya kuwa jasiri na shujaa katika maisha yako. Mtu wa kwanza kabisa kukupa furaha ni wewe mwenyewe, usipendelee kutegemea furaha kutoka kwa mtu mwengine coz utakuwa ni mtu wa kupoteza furaha mara kwa mara, furaha inakuja na kuondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heeee only 22yrs !! Ohh bado utaumia tena mara 2 kisha hapo utajua mbinu zote za kujinasua fasta ukiona tu vidalili
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeipenda hii fasihiUlikata mti hujapanda mti lazima ukose kimvuli na utaungua na jua mpaka pale utakapojisogeza kwenye kibaraza cha jirani ama upate mwamvuli
Sent using Jamii Forums mobile app
22 years mbichi kabisa huyu. Bado hajakutana na break up hizo mbili ni trailer tu [emoji23]Heeee only 22yrs !! Ohh bado utaumia tena mara 2 kisha hapo utajua mbinu zote za kujinasua fasta ukiona tu vidalili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kauli kutoka kwenye mtazamo was jicho la tatuHaya wakuu
Biashara hiyo
Bidhaa ya zamani kwenye kopo jipya
Walafi jimwageni
22 years mbichi kabisa huyu. Bado hajakutana na break up hizo mbili ni trailer tu [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo wao ni wadake tu..Mie walaa[emoji9][emoji9][emoji9]Wadaka chozi wapo humu
Pole Sana but ni easy ila unachotakiwa kufanya ni kusetup akili yako na next unapokua ktk mahusiano usiweke a 100% huwez breakup hilo litakuumiza km ilivyo sasa,but hutakiwi kuwachukia wanaume coz we are different kwenye kila sector na unategemea break-up ilisababishwa na nn coz there's many many things inside the relationship vinahappen na ukitumia utashi wa kawaida kuvitatua unakuta unafail ,hapo unatakiwa utatue tatizo kwa kuangalia positive way na wema alokutendea all the time mlikua wote,hakuna man yuko perfect ila watu huingia kwenye relations wakiangalia km yale mapungufu alonayo yanaweza kurekebishika au yanavumilika ,Sana Jf Mie mgeni humu...ila nmetoka kwa heavy break up...its my second break up katika mahusiano na all time naumizwa Mimi tu... Soooooo naomba msaada huwa mnafanyaje mkiachana Ili ile hating isikae moyoni jamaani sitaki kabisa kumchukia mtu Mimi..ila nataka kufanya kama tatizo LA kawaida tu then nilet go...ila najiskia kuchukia sana wanaume help me guys...
Sent using Jamii Forums mobile app
6 years hufikishi bibie [emoji28][emoji28]Naogopa kuanzisha mahusiano mengine naona n mapema mnooo nataka nipone kwanza like 2-6 years
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa unatushauri tuwe na mchepuko. Halafu mje kutuchoma na magunia mawili ya mkaa [emoji848]. Pia muanze kutusema jinsi tusivyo waaminifu..mkoje nyie?Always Love with a gape. Also make sure that yu have 2 lovers in one time. Give them a tight timetable and make sure that they don't meet. Kwisha. Akikuzingua huyu unamaliza 2 weeks ukijitayarisha kutega jinga jingine. Sisi vidume huwa hatuumii sana kwa kuishi na ujanja huo
I put my two legs inside there[emoji26]....Oooh my Gossh
22Yrs aiseee am so sorry for what happened
But kwa umr ulonao Niko na more than 79% tatizo ulokua nalo nadhani ni wivu mwingi na hii inawezekana ni sababu iliyochukua Zaid ya 90% ya hayo mahusiano kuvunjika,
It's ok lkn km hutojali niPm naweza kukuelimisha zaid By kesho Jion km utakua na Time.
Sent using Jamii Forums mobile app
Stay blessed[emoji8]Pole Sana but ni easy ila unachotakiwa kufanya ni kusetup akili yako na next unapokua ktk mahusiano usiweke a 100% huwez breakup hilo litakuumiza km ilivyo sasa,but hutakiwi kuwachukia wanaume coz we are different kwenye kila sector na unategemea break-up ilisababishwa na nn coz there's many many things inside the relationship vinahappen na ukitumia utashi wa kawaida kuvitatua unakuta unafail ,hapo unatakiwa utatue tatizo kwa kuangalia positive way na wema alokutendea all the time mlikua wote,hakuna man yuko perfect ila watu huingia kwenye relations wakiangalia km yale mapungufu alonayo yanaweza kurekebishika au yanavumilika ,
Kingine ni kwamba uneed to take this time to think about urside una mapungufu gan ili uweze kuyarekebisha ili for the next yasijirudie coz naamini pia ww una mapungufu yako ambayo huwenda yalichangia kuvunja hayo mahusiano.
Nadhani ntakua nimejaribu kwa kiasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
At least nmesema huku JF I feel a little relief[emoji36] moyo ulitaka kuburst yan...Kama ulikuwa na mapenzi ya dhati kwake unahitaji kuwa na mtu karibu kwa ajili ya kukufariji
Mtu unaeweza kufunguka kwake unachojiskia akawepo kukusikiliza ata rafiki anatosha
I wish[emoji20]Kwamba mpaka aje adevelop anti-breakup
Hakuna maumivu tena inakua akiachwa analala akiamka kashasahau