Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,702
- 36,143
Ukijikomiti kuwa unaenda kuongeza kisomo si watataka na barua ya selection, au watataka urudi na cheti ulichokipata huko masomoni?Kulia juu address yako
Kushoto chini ya katibu wa wizara
K.K katibu wa utumishi...
mrejesho lazima hata kama hukutumia hela yao kwenda kusomaUkijikomiti kuwa unaenda kuongeza kisomo si watataka na barua ya selection, au watataka urudi na cheti ulichokipata huko masomoni?
Sitaingia kwenye sintofahamu baadaye?.
Mimi siendi kusoma, nataka kufanya jambo fulani.
Au ukijikomiti unaenda kusoma hawatataka mrejesho baadaye?
kwani kila mtumishi wa serikali ni wa halmashauri??Nenda halamashauri watakupa form na mwongozo wa kuandika barua
Habari za usiku waungwana?
Ninataka kupumzika kazi kwa muda wa angalau mwaka mmoja au miwili.
Kuna jambo nataka kulifanya la kibinafsi.
Mimi ni mtumishi wa serikali.
Aliyewahi kuomba likizo isiyo na malipo au anayefahamu kwa undani hili jambo anipe mwanga.
Thanks
"Oya wahusika, sikieni.'Habari za usiku waungwana?
Ninataka kupumzika kazi kwa muda wa angalau mwaka mmoja au miwili.
Kuna jambo nataka kulifanya la kibinafsi.
Mimi ni mtumishi wa serikali.
Aliyewahi kuomba likizo isiyo na malipo au anayefahamu kwa undani hili jambo anipe mwanga.
Thanks
Habari za usiku waungwana?
Ninataka kupumzika kazi kwa muda wa angalau mwaka mmoja au miwili.
Kuna jambo nataka kulifanya la kibinafsi.
Mimi ni mtumishi wa serikali.
Aliyewahi kuomba likizo isiyo na malipo au anayefahamu kwa undani hili jambo anipe mwanga.
Thanks
Umeambiwa huyu kibaka, ni mteule wa Rais? Kwa Kuandika kwa chief secretary ni kuwa yeye ni katibu mkuu wa wizara. Mwelekeze asome standard order. Leave without pay ina kanuni za kuombwa na anatoa kibali katibu mkuu UtumishiUnamwandikia katibu mkuu kiongozi Ikulu unaipitisha barua hiyo kwa mwajiri wako Kama ni halmashauri ni DED, mkoani RAS,wizarani karibu mkuu, mashirika DG or CEO