Msaada juu ya malipo ya Arrers za mahahara

Tractor

Member
May 23, 2019
71
98
Naomba kujua kuwa endapo umeripoti KITUO Cha KAZI labda tarehe 17 ya mwezi huo na Barua ya posting inasema kuwa unatakiwa kureport within na Mtumishi huyo mpya aliwasili kweli ndani ya muda Kama posting letter inavyosema.

Swali je akija kuomba malipo ya mshahara ya mwezi husika atalipwa?

Naombeni ufafanuzi.

Maana huyo mtu alifuatilia akaambiwa hawezi lipwa maana aliwasili payroll imeshapita.

Msaada wakuu
 
Si uvumilie tu ndugu yangu usubirie mwezi ujao unaofuatia utalipwa. Ndio umeenda tu kuripoti unaanza na madai ya mshahara hapo hapo kweliii.
 
Naomba kujua kuwa endapo umeripoti KITUO Cha KAZI labda tarehe 17 ya mwezi huo na Barua ya posting inasema kuwa unatakiwa kureport within na Mtumishi huyo mpya aliwasili kweli ndani ya muda Kama posting letter inavyosema.

Swali je akija kuomba malipo ya mshahara ya mwezi husika atalipwa?

Naombeni ufafanuzi.

Maana huyo mtu alifuatilia akaambiwa hawezi lipwa maana aliwasili payroll imeshapita.

Msaada wakuu
Tarehe 17 hulipwi.

Unadai Mshahara ambao hukufanyia kazi.

Maana hapo ulifanya kazi siku 5 tu.
 
Kwahiyo hizo siku 5 alifanya kazi ya kanisa?

Sijui mambo ya serikalini but private wanatumia prorata basis, wanachukua mshahara/30days×5days worked wanakupa ni haki yako kabisa
Serikalini ukiajiriwa wakati payroll ya mwezi husika, imefungwa hutalipwa.

Kwasababu orodha ya watumishi waliofanya kazi mwezi husika inakuwa imeshaenda. Utapata pesa ya kujikimu kama ukipewa
 
Naomba kujua kuwa endapo umeripoti KITUO Cha KAZI labda tarehe 17 ya mwezi huo na Barua ya posting inasema kuwa unatakiwa kureport within na Mtumishi huyo mpya aliwasili kweli ndani ya muda Kama posting letter inavyosema.

Swali je akija kuomba malipo ya mshahara ya mwezi husika atalipwa?

Naombeni ufafanuzi.

Maana huyo mtu alifuatilia akaambiwa hawezi lipwa maana aliwasili payroll imeshapita.

Msaada wakuu
Walimu mbona mna stress sana embu kandike Tena upya kichwa Cha habari
 
Back
Top Bottom