Msaada:Naomba mtu anitengenezee LOGO

Msaada:Naomba mtu anitengenezee LOGO

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
14,593
Reaction score
5,582
Habar wadau,jamani naomba mwenye uwezo anisaidie kunitengenezea LOGO iwe na michoro ya watu au watoto wadogo
LOGO iwe na maneno yafuatayo
HILSWO
KAULI MBIU YAKE NI:Bringing hope to the Society
barua pepe yangu ni:hilsowo@gmail.com
 
mkuu ungeweka angalau chochote ungewatia watu moyo wa kukutengenezea tena ungezipata nyingi tu akachagu. wengi wamepata logo humuhumu kuna wataalamu wazuri ngoja waje mtaelewana tu
 
mkuu ungeweka angalau chochote ungewatia watu moyo wa kukutengenezea tena ungezipata nyingi tu akachagu. wengi wamepata logo humuhumu kuna wataalamu wazuri ngoja waje mtaelewana tu
hahahaha.kweli usemayo kaka ila si mbaya nikisaidiwa,SAFARI 1 HUANZISHA NYINGINE:glasses-nerdy:
 
hapo n vema unge mp @c6. Yy n expert wa Hz vituuuu
 
Habari. Mimi ni logo designer ila Kabla sijajitangaza kwako tafadhali tembelea blog yangu ifuatayo ndio upate maamuzi kama utaweza kufanya kazi na Mimi. Humo utaona sample za kazi zangu. ImageUploadedByJamiiForums1359633390.498819.jpg Na ninakuwekea sample moja ya kazi zangu hapa kaka.

Blog yangu ni: Logoriddims.blogspot
 
Mkoroshokigoli no yangu ya simu: 0652 999009. Na hii ni sample nyingine nakupatia: ImageUploadedByJamiiForums1359633819.605657.jpg
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1359633888.817051.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1359633888.817051.jpg
    76.2 KB · Views: 46
hahahaha.kweli usemayo kaka ila si mbaya nikisaidiwa,SAFARI 1 HUANZISHA NYINGINE:glasses-nerdy:
We vipi usaidiwe mwenzio amesoma, amefikiri, ametumia muda wake, then usaidiwe. We kweli mtanzania. Kila kitu mpaka tusaidiwe.
 
OK si mjuzi sanaa wa nitakutumia ukiiona ndipo tutazungumza mengine
 
mkono mtupu haulambwi!!

hizi kazi za bure mfanye nyie, mie saa hizi nawaachia nyie, watu wanalipwa hela nyingi tu halafu tunawasaidia bure tena wanachagua logo,
 
hahaha...am a retired kaka, graphics niliacha kitambo sana...

hizi kazi za bure mfanye nyie, mie saa hizi nawaachia nyie, watu wanalipwa hela nyingi tu halafu tunawasaidia bure tena wanachagua logo,
 
Jaman logo nimepata hayo mengine ntajua mim na alonitengenezea,NI NZURI SANA TU
 
hizi kazi za bure mfanye nyie, mie saa hizi nawaachia nyie, watu wanalipwa hela nyingi tu halafu tunawasaidia bure tena wanachagua logo,
hahahaha C6 akitokea mtu akahitaj msaada msaidie bwana maana hao wa juu wameshindwa kusaidiana na sisi KINA KAJAMBA NANI TUKITUPANA ITAKUWAJE?:glasses-nerdy:
 
Back
Top Bottom