Msaada:Naomba mtu anitengenezee LOGO

Msaada:Naomba mtu anitengenezee LOGO

Habari. Mimi ni logo designer ila Kabla sijajitangaza kwako tafadhali tembelea blog yangu ifuatayo ndio upate maamuzi kama utaweza kufanya kazi na Mimi. Humo utaona sample za kazi zangu.View attachment 81513 Na ninakuwekea sample moja ya kazi zangu hapa kaka.

Blog yangu ni: Logoriddims.blogspot
asante sana
 
Mkoroshokigoli kama umeshafanikiwa kupata logo ulokuwa waitaka ndo furaha kwangu. Allah akujaalie mafaniko ktk project yako in shaa Allah
 
Back
Top Bottom